Nimedhalilishwa baada ya kumtongoza

Nimedhalilishwa baada ya kumtongoza

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,487
Nilikuwa katika pilika zangu za kutafuta mkate,bahati nzuri nilikutana na wadada wawili wamejaaliwa kwa uzuri wa umbo na sura.
Msukuma guta nikajitosa kuelezea yaliyomoyoni kwa mmoja wa wale warembo.Kwa kweli niliambulia kutazamwa toka miguuni,tumboni,kifuani mpaka utosini mwishowe akaniambia nimemchelewesha safari yake na ndipo aliubenjua mdomo wake akazikunja lips zake na kuachia mlio wa msonyo wa dharau.
Ewe binti uliyeninyanyapaa leo ipo siku tutaonana tu,labda kwa vile nilikuwa mchafu.
 
Pambana na hali yako
 
usisahau kutupa update
 
Complain za nini sasa kukataliwa ni haki ya mwanamke /au mwanaume ktk suala la relationship piga moyo konde sio kila unachokitamani kinakufaa sana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes it is better to be silence rather that thread creating.

[HASHTAG]#kitaavator[/HASHTAG]
 
Pambana na hali yako iko siku yaweza kuwa kama ZARI LA MENTALI[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani katika kumi ukipata wawili ni mafanikio makubwa sana. Siku hizi ukitongoza mmoja, unapata wawili au watatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom