Tuishi vizuri hujui nani na lini atakusaidia.

maisha haya watu wanajisahau sana, mi kuna watu huwa wananisaidia mpaka nashangaa (kwa kipindi kile tukikua na kusoma nilikuwa naamini hawawezi toboa)

ila now ndo wana michongo ya maana kuliko hata sisi kina john kisomo ama tulio kuwa na unafuu wa maisha

kuna watu wana jeuri na maneno ya hovyo wakiamini watabaki washindi milele
 
Mi kwakuwa nilishakuwa na nia yakumsaidia huyo mteja sikutaka kughairi kwakuwa ni yeye ila hatabsikutaka aeleze ana matatizo gani yakifamilia na mgonjwa ni nani nienda moja kwa moja namna yakulipa pesa basi. Cha ajabu alitaka kuitumia hiyo opportunity kurudisha mawasiliano ooohhh eti ntapata laana mwanangu hatonipenda. Alaaahhh ndo umejua leo? Huyo mtoto mtajuana akikua huko mimi akae mbali na mie maana aliniwekeaga dawa za kutoa mimba bila mi kujua sema sikuzinywa yaani
 
hahahahaah! laana ya mwanao

we msaidie tu achana na porojo zake izo
 
hahahahaah! laana ya mwanao

we msaidie tu achana na porojo zake izo

Mimi nilimalizana naye mezani kama mteja na malipo ataleta ofisini kwa vijana waliopo na Kadi ya bank kawaachia NMB mobile walibadilisha namba ya siri hadi alipe deni lote, Wale vijana nawaaminia hawajawahi kuniangusha
 
We mkali,endelea vivyo hivyo na maisha yako ila old is gold siku moja moja mpe ukaribu ajijutie roho yake.

Ukaribu haiwezekani ndugu, watu ni wengi Tanzania hii zaidi ya milioni 50 awe karibu na wengine nami niwe karibu na wengine aisee. Sio kila cha kale ni dhahabu vingine vinyesi usidanganye watu.
 
Nakuaminia mwajuma, dada zangu hawajawahi kuniangusha kwa kweli. Lazima jamaa ajutie kwa kukutenda na kukusema vibaya wakati wa kuachana.

One thing though, kwa uchumi ulivyo sasa hivi, tegemea pm nyingi zikiomba kujua ofisi yako ilipo ili waombe mikopo. It's a well articulated advert.
 
Is'nt an advertisement though, na nafanya na people around kwa ajilibyabkuwa access wakati wa malipo. Umenichekesha eti dada zako hatujawahi kukuangusha, tunavumilia weee yakitufika hapaaa ni kwaheri haiwezi rudi nyuma asilani
 
Mimi nilimalizana naye mezani kama mteja na malipo ataleta ofisini kwa vijana waliopo na Kadi ya bank kawaachia NMB mobile walibadilisha namba ya siri hadi alipe deni lote, Wale vijana nawaaminia hawajawahi kuniangusha
Hiyo ya kubaki Na kadi kuna jamaa alishawahi wafanyia uhuni taasisi Moja,alienda polisi kuchukua loss report akatengeneza kadi nyingine
 
Is'nt an advertisement though, na nafanya na people around kwa ajilibyabkuwa access wakati wa malipo. Umenichekesha eti dada zako hatujawahi kukuangusha, tunavumilia weee yakitufika hapaaa ni kwaheri haiwezi rudi nyuma asilani
Nimesema ni advert sio kwa maana mbaya, yaani kupitia ushuhuda wako tayari kuna uhitaji hapo, tegemea kuniona tu dadangu(well, kwa hao subordinates wako).

Halafu hiyo system ya kuchukua bank card, kubadili password...hapo umewapata watu, hakuna kuruka asee. Sasa huyo ex si aweza kutumia uex wenu kubalance mkopo teh.
 
Issue ni simple nilishajiandaa kukutana na client mwenye shida alivyokuja yeye nikampokea kama mteja, na taratibu ziko pale pale mkopo anarudisha kwa wale vijana ilikuwa tu nitoe idhini ya kuulipa miezi zaidi ya 5. Uex atautumia wapi? Saangapi? Kuwasiliana tu na mimi haruhusiwi ndo atapata huo muda. Vijana wangu japo sio wadogo mmoja tumelingana wako makini kazi yote wanafanya wao na hawajui tunafahamiana ATALIPA
 
Hiyo ya kubaki Na kadi kuna jamaa alishawahi wafanyia uhuni taasisi Moja,alienda polisi kuchukua loss report akatengeneza kadi nyingine

Mkuu kuna mwanasheria anahusika kwa kila negotiation, na anaweka sahihi na dole gumba liko pale hachomoki mtu hapo wanalipaga tu kiulaini, kama mtu kachukua mkopo Jumla ya riba ni 90,000 mwanasheria ukimpa 20,000 kwa kila form hupati shidaaaa
 
Back
Top Bottom