NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Hali zenu Wana JF.
Naomba kuuliza hasa wanawake wenzangu,ivi pindi mume wako anaposema Skukuu hii sina hela ya kukununulia nguo mpya ila Eid ilopita umepata nguo baada ya hapo ukaenda Holiday japo japo
ya uwezo mdogo, hii ndio sababu yakukufanya ukafungasha mizigo yako unakaenda kwa kakako?
huyo ni wifi yangu ila nimeongea nae nikamwambia sio sawa, sio kama sitaki akae kwangu laa
nyumba nyumba yake anytime akae ila awe na valid reason yakuondoka kwa mumewe mbona
sababu haina maaana yakumfanya yeye aondoke nyumbani? amenambia mie labda staki nimemuona mzigo ndio mana nataka nimfukuze ki aina...
Kakake yupo safarini amemweleza na bwana yule nae kamwambia aondoke arudi kwa mumewe au kwa mamake asimkute nyumbani ndio imeharibu kabisaaaa,nimemwambia mumewangu muache akae mpaka urejee safari kasema hakuna aende zake staki ujinga, jee huyu wifi si atajua mie ndio staki au nna roho mbaya staki watu kwangu? wanaume nao wabishi na mumewangu namjua akija akimkuta atamchapa vibao ndio tafran itazidi,ebu naombeni fikra japo huyu wifi anielewe sina nia mbaya nilimwambia usimwambie kakako mpaka arejee lakini hakunisikia ...