Huyu vipi, yaani tabia ambazo ilibidi azioneshe mwanzo wa mahusiano anazionesha saiz wakati tuna zaidi ya mwaka

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
373
615
Jamani naombeni mnisaidie mwenzenu huyu mwanamke ni mapepo au mbona simuelewi
Kuna msichana flani wa kichaga yapita kama mwaka mmoja na nusu niko nae kwenye mahusiano,sasa kilichonileta hapa ni vituko vyake
kituko cha kwanza,Kuna siku nilimuita aje kwenye mgahawa flani upate lunch akaja ila cha ajabu akawa anaogopa kuingia ndani,nilichukia sana nikambembeleza sana ndo akaingia nilichukia sana,kumuuliza kwann unanifanyia hivi eti hamna.
Kituko cha pili, yeye huwa anauza kiminisupermarket sasa namwambiaga asifunge mpaka nimpitie,ila cha ajabu utaskia usijisumbue kupitia nishaondoka,yaani huwa naboreka sana.
Kituko cha nne anapenda kuongea kichaga sana akipigiwa simu na ndugu zake japokuwa nilishamwambia siipendi hii tabia lakin wapi.
Leo sasa ndo nimeshindwa kuvumilia imebidi nimwambie akae mbali na mimi maana nisije nikapata madacase bureee,Kuna sehem tulipanga kwenda nikamwambia anisubiri sehem flani, kweli nimemkuta cha ajabu naona hafungui mlango wa gari,ikabidi nisogee kwa taabu nikamfungulia,namwambia ingia sasa naona anaogopaogopa, yaani analeta zile kama ndo demu umemuona mara ya kwanza halafu umemwelewa unamwambia aingie kwenye gari zile pozi zao,wakati tupo kwenye mahusiano halafu huu mwaka karibu wa pili.ikabidi niondoe gari kwa hasira nimerudi geto ndo nimetoka kutoa vitu vyake njee,nimempigia cm aje achukue vitu vyake anajifanya analia,kwakweli siwezi kurudi nyuma.amenifanya hadi nawachukia wachaga wote',alivyoona nimemkazia akasema ana mimba yangu nimemwambia we zaa ntamuhudumia mtoto lakini wewe hapana, vituko vingine sijaelezea uzi ungekuwa mrefu mno, jamani wadada hii nikawaida yenu au mwenzeni nilikuwa naishi na taahira, umri wake ni miaka 24. kwahiyo sio utoto tafadhari.karibu
 
ha haha nimcheka kwa sauti eti anaogopa kupanda gari? hahahaha alikuwa anajibebisha ila hajui ha hahahahhaha nimekumbuka jinsi gari ikisimama tu ukizubaa nakugongea dirishani ufungue mlango ... pole mkuu tamthilia hizo ha ha hahausichukie nitongose mimi uone nina leseni nitakuendesha usijali tutapeana zamu ya kuendesha gari
 
Tehtehteh,umeongea kwa uchungu kweli,hahahaha,..kuna vtu vingne bwana,hahaha,..asa unamwacha manka kwa kudeka mjomba..ungeshuka mfungulie mlango,..we wa wap..MARA PAAP,.unamwacha kidume mwenzio nachkua
 
Back
Top Bottom