Wanaume wavunja ukimya, walalamika kupigwa na kutelekezwa na wake zao

Majs

Senior Member
Dec 21, 2012
190
500
WANAUME 20 walio kwenye ndoa katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamevunja ukimya wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenzi wao, imebainika.

Mkuu wa Dawati la Polisi la Jinsia na Watoto Sumbawanga, Koplo Germana Mfwomi alilieleza gazeti hili kuwepo kwa hali hiyo, mbali na kubainishwa kwenye uzinduzi wa mradi wa kupinga ukatili wa kijinsia Manispaa ya Sumbawanga mkoa wa Rukwa uliofanyika jana mjini hapa.Inasemekana kuwa wanaume 15 wamevunja ukimya mbele ya dawati la polisi la jinsia na watoto Sumbawanga huku watano wakikiri mbele ya maofisa wa Ustawi wa Jamii Manispaa ya Sumbawanga.

Akifafanua, Germana alidai wanaume watatu ndio waliokwenda kwa hiyari yao wenyewe na kulalamika mbele ya dawati la polisi la jinsia na watoto mjini Sumbawanga kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na wenza wao wa ndoa ikiwa ni pamoja na kupigwa mara kwa mara na wametelekezwa na wake zao.

Ofisa Ustawi wa Jamii, Manispaa ya Sumbawanga , Herry Sanga alieleza kuwa wanaume watano wenye umri zaidi ya miaka 30 wamekiri kupigwa na wenza wao wa ndoa huku akisisitiza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa kubwa kwa kuwa wengi wao wanaona aibu kuvunja ukimya .

Mkurugenzi wa mradi huo, Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Peter Kawageme alisema kuwa mradi huo utatekelezwa katika kata zote 19 zilizopo katika Manispaa ya Sumbawanga ambapo katika awamu ya kwanza utatekelezwa katika kata kumi kwa kipindi cha miezi sita kwa gharama ya zaidi ya Sh milioni 60.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,734
2,000

Wacha wapigwe tu maana hawatimizi majukumu yao
 
Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,330

URBAN MONKEY

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
714
1,000
Huyu mchungaji wa kanisa ana matatizo si bora hiyo milioni 60 akawape watoto yatima huko
Kuliko kufanyia upuuzi mtu unapigwa na mwanamke duuh!!
 
Nahirat

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
597
1,000
Ila siku hizi wanaume mnatia aibu mnapigwaje na wanawake. Ata leo asubuhi nimeskia kwenye radio wanaume wa Kagera wanashitaki wake zao kwakuwapiga. What a shame badala ya kutembeza mkunguto unatafta vyombo vya dollar.
And by the way am not a feminists wanaume wana nafasi yao tuwaheshim wapo juu yetu simanishi ki akili mbali kwa vitu manual tusiforce usawa kwahyo ni aibu na fedhesha mwanamke kumpiga mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
luhuye

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
289
250

hata kiakili
 
Truths

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,499
2,000
Wanawake Mungu anawaona....

Wanawake watiini waume zenu ili baraka zije, mjifunike vichwa vyenu(i.e. Msijiinue mbele za wanaume zenu). Mwanaume ni kichwa cha nyumba.

Nyumba ambayo Mwanamke anamtawala mume. Haiwezi kua na Baraka Bali laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doris Gabriel

JF-Expert Member
Jul 30, 2017
1,051
2,000
WANAUME 20 walio kwenye ndoa katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamevunja ukimya wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenzi wao, imebainika.

Mkuu wa Dawati la Polisi la Jinsia na Watoto Sumbawanga, Koplo Germana Mfwomi alilieleza gazeti hili kuwepo kwa hali hiyo, mbali na kubainishwa kwenye uzinduzi wa mradi wa kupinga ukatili wa kijinsia Manispaa ya Sumbawanga mkoa wa Rukwa uliofanyika jana mjini hapa.Inasemekana kuwa wanaume 15 wamevunja ukimya mbele ya dawati la polisi la jinsia na watoto Sumbawanga huku watano wakikiri mbele ya maofisa wa Ustawi wa Jamii Manispaa ya Sumbawanga.

Akifafanua, Germana alidai wanaume watatu ndio waliokwenda kwa hiyari yao wenyewe na kulalamika mbele ya dawati la polisi la jinsia na watoto mjini Sumbawanga kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na wenza wao wa ndoa ikiwa ni pamoja na kupigwa mara kwa mara na wametelekezwa na wake zao.

Ofisa Ustawi wa Jamii, Manispaa ya Sumbawanga , Herry Sanga alieleza kuwa wanaume watano wenye umri zaidi ya miaka 30 wamekiri kupigwa na wenza wao wa ndoa huku akisisitiza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa kubwa kwa kuwa wengi wao wanaona aibu kuvunja ukimya .

Mkurugenzi wa mradi huo, Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Peter Kawageme alisema kuwa mradi huo utatekelezwa katika kata zote 19 zilizopo katika Manispaa ya Sumbawanga ambapo katika awamu ya kwanza utatekelezwa katika kata kumi kwa kipindi cha miezi sita kwa gharama ya zaidi ya Sh milioni 60.
Jamani.safi sana nimeipenda hao ningewajua wamama ningewapa zawadi mwanaume jinsi alivo naroho yakinyama hata akiteswa afanywaje Mimi naona sawa Jamani tuanzeni mazoezi mnaona wenzetu nyie wapigeni tu hata mkibidi wakateni hayo malungu yao sindoyanawapa kiburi kiukweli laiti kungekuwa duniani hakuna Mungu au Mungu ashuke aseme wateketezeni Wanaume wallah ningeshika nafasi ya kwanza kuwamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
12,155
2,000
Kwahiyo ni Sumbawanga na Kagera ndio kuna wanawake watemi...Ngoja nimuandae mwanangu kisaikolojia kabla hajafanya maamuzi ya kuoa.
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
41,535
2,000
Hongera zao hao wanaume mana hawajataka kubaki na madukuduku moyoni kufunguka kwao ujue hapo wameshatua mzigo waliokuwa wamejitwika.

Ila hao wanawake ni hatari aisee.
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
41,535
2,000
Wanawake Mungu anawaona....

Wanawake watiini waume zenu ili baraka zije, mjifunike vichwa vyenu(i.e. Msijiinue mbele za wanaume zenu). Mwanaume ni kichwa cha nyumba.

Nyumba ambayo Mwanamke anamtawala mume. Haiwezi kua na Baraka Bali laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa. Nimecheka sana aiseee. Sio wote wenye kujua hivyo mkuu.

Pia nadhani tungepata sababu za wao kupigwa ndio ingekuwa bora zaidi.
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
41,535
2,000
Jamani.safi sana nimeipenda hao ningewajua wamama ningewapa zawadi mwanaume jinsi alivo naroho yakinyama hata akiteswa afanywaje Mimi naona sawa Jamani tuanzeni mazoezi mnaona wenzetu nyie wapigeni tu hata mkibidi wakateni hayo malungu yao sindoyanawapa kiburi kiukweli laiti kungekuwa duniani hakuna Mungu au Mungu ashuke aseme wateketezeni Wanaume wallah ningeshika nafasi ya kwanza kuwamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh. Mi huwa siafiki kupigana ndani ya nyumba au hata mahusiano wa kawaida kwa sababu naonaga sio suluhisho zaidi ya kuwekeana visasi rohoni na kuchekeana kinafki.

Kupiga au kupigwa sio suluhisho mdogo wangu hata kama umekereka kiasi gani.

Pia usisahau neno langu sio sheria.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom