Wajameni salaaama!
Jamani mwenzenu hakuna suala linanitatiza kama kutafuta mwanamke wa kuoa, si kwamba mimi nina mandazi mdomoni ila sasa kila ninayemnasa badae nagundua ni wrong way namani...
Inasemekana 70% yawanawake akiwa analia kitandani, hufanya hivyo kumridhisha mume,,,, na sikwamba anafanya hivyo kwa kumaanisha,,
Only 30% wafanya hivyo kwa pleasure!!!
Wanawake Mungu anawaona
Habari wana jamvi,
Natumaini wote wazima na mmekuwa na Eid Njema.
Niende kwenye mada sasa.
Namfahamu Jack kwa muda mrefu ni mrembo na mkarimu,lakini Jack alikuwa na mahusiano mazuri tu na mvulana...
Kichwa cha habari kinajieleza,
Mimi ni mwanaume wa miaka 29, mtumishi, mrefu cm 185, mwili wa kawaida.
Msichana awe mweupe, au maji ya kunde, elimu kidato cha nne na kuendelea, mfanya kazi au...
Ni kitu ambacho sikutarajia kingetokea..!
Baada ya kuvutiwa nae, na kufanya juu chini, kupata namba yake ya Simu, nilijaribu kufunguka kwa binti huyu, na (sijui Mungu au Shetani) kwa bahati nzuri...
Kuna siku niliingiwa na tamaa ya kuchepuka, ibilisi nae akawa anataka kuwa mdhamini wa mpambano, lakini nafsi yangu haikuwa na amani kabisa kimioyo kinadunda dunda hivi...kila napopiga hatua...
Utasikia watu wanasema yaani nilimuacha mwanaume handsome mwenye hela, nimeangukia kwa huyu mfupi, mweusi, mbaya na mlevi.
Na wanaume nao hivyohivyo.
Mathalani ukienda kanisani au kwenye hafla...
Kwa nini watu wanawehuka na penzi mtu anakuwa mnyama akiambiwa amemegewa?
Na wanawake wanaenda hadi kutafuta ndumba au anafanya hila amcross rafiki yake kwa mpenziwake ili awe naye!??
Ila mwisho...
Habari zenu natafuta mchumba nimechoka upweke from 25-35 female.
Mimi ni mwanaume nina miaka30 kwa walioserious tu nakuruhusu kuja pm.Mengine tutadiscuss.
Thanks in advance.
Sent using Jamii...
Habari zenu waungwana mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa natafuta mchumba ambaye baadae atakuwa mke awe na elimu kuanzia kidato cha nne umri kuanzia miaka 23 aliye interest tuwasiliane pm...
mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta mchumba wa kike wa kuoa awe na umri wa miaka 24-26 elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea aliye interested tuwasiliane pm
Kubariki Ndoa
Je! 1. Kuna umuhimu wowote wa kubariki ndoa kwa watu, mke na mume, walioanza kuishi pamoja kabla ya kufunga ndoa? 2. Je! Tendo hili la kubariki ndoa ni...
Mwanamke aliye na mapenzi ya dhati,mcha Mungu(muislam),mtafutaji,elimu level yoyote kuanzia ngazi ya secondary,kama ana kazi ni added advantage,mm ni muajiliwa serikalini nna ishi nje kdgo ya jiji...
Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu. Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Embu nyoeni muepuke aibu na...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni mwanamke mtu mzima (wengi uwa wanachanganyikiwa na hii jina wakidhani ni mwanaume.) Nilikua na mpenzi wangu toka october 2014 na mpaka sasa.
Kwenye...
Tufunguke wa ndg
Ni jina gani hutaki kuliskia ama kulitamani kwenye mahusiano.
Mimi nikiskia jina 'lucy" huwa nafedheeka sana sipend kabisa jina hilo, nilimpenda sana lakini hakupendeka...
Nakumbuka ilikuwa ijumaa moja baada ya kupokea mshahara( ilikuwa nchini Burundi) Ndugu yangu akaniambia brother leo nahitaji nikutoe out, ukanywe ukatafute mwanamke mkaali ufanye yako,
Dah kwa...
Wakuu habar... Naamini shule hazija fungwa hivyo sitegemei kuona comments za wanafunzi humu...
Back to the topic. ..
One month ago niliingia kwenye mgogoro na girlfriend wangubaada ya...
Ewe kijana, kijana unayesaka maisha, sikiliza neno hili toka kwa kijana mwezio, mhenga aliyepitia mengi katika umri mdogo.
Unapo anza kuwa na malengo hasa malengo ya kusaka pesa na kuwa tajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.