Mpende mwanamke lakini usimwamini katu!

KING DUBU

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
919
1,239
Suala la Kusalitiwa na kupelekea kujinyonga, kijiua kisa mapenzi kivyovyote linatokana na kumwamini sana mwanamke. Usijaribu kabisa kufanya hivyo.
Mwanamke Haaminiki, anaweza pewa pesa, Mashine kuuchezea vilivyo na kupewa Huduma za kumridhisha lakini bado akakusaliti. Trust non in love affairs.
Kujijengea mazingira ya kutomwamini sana mpenzi wako itakupunguzia kuhamaki na Kuchukua Maamuzi yasiyo na tija pindi Ikitokea kukusaliti.

Sijawahi kumwamini mwanamke katika mahusiano hata ya Huko awali na yeyote sitomwamini japo ninampenda.
Ukimpenda Sana ni tatizo, na usipompenda sana pia tatizo so bora lipi?
 
Mtoa mada uaminifu na mapenzi ni mambo yanayienda sambamba

Huwezi kumpenda mtu bila kupitia stage ya kumuamini

Mbona wapo pia wanaume wanapewa huduma stahiki na wanawake zao na still wanasaliti? Hilo hujaliona sio? Tuache tupumue jamani!

Madame S
 
Kama ilivyo kwa mwanaume .. Unaweza ukampa mapenzi yote mpaka akajihisi yuko sayari ya jupiter huko, ukamjali na kumheshimu kama vile mungu wa pili ... Kumpenda sasa ndio usipime ... Na ila bado atasepa na kwenda kwa mwingine .... Trust no one dears....
 
Mtoa mada uaminifu na mapenzi ni mambo yanayienda sambamba

Huwezi kumpenda mtu bila kupitia stage ya kumuamini

Mbona wapo pia wanaume wanapewa huduma stahiki na wanawake zao na still wanasaliti? Hilo hujaliona sio? Tuache tupumue jamani!

Madame S
Ni kumwamini mdomoni ila si mpaka moyoni, utaumia ukimwamini mwanamke, mwanaume huumia zaidi wakitendwa na Uvumilivu mdogo sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom