Mwanaume hufuata nini kwa mwanamke?
Hakuna mwanaume anayetongoza kila mwanamke. Kwanza Haiwezekani.Unakuta mtu ana mke lkn haishi kutongoza kila mwanamke anayemuona.
Hao wanaume hawapo hivyo hii ni fallacy.Bila shaka wanaume wenye tabia za kutongoza kila mwanamke huwa wanaendeshwa na mapepo ya ngono.
Mnashangaza sana.
Usikute wewe ndo unaeshangaza, take care.Mwanaume hufuata nini kwa mwanamke?
Unakuta mtu ana mke lkn haishi kutongoza kila mwanamke anayemuona.
Bila shaka wanaume wenye tabia za kutongoza kila mwanamke huwa wanaendeshwa na mapepo ya ngono.
Mnashangaza sana.
Ujue umekamilika kila idara ndio maana unatongozwa tongozwaMwanaume hufuata nini kwa mwanamke?
Unakuta mtu ana mke lkn haishi kutongoza kila mwanamke anayemuona.
Bila shaka wanaume wenye tabia za kutongoza kila mwanamke huwa wanaendeshwa na mapepo ya ngono.
Mnashangaza sana.
Kwa akili hizo hufai hata kutongozwa na hao jamaa wamepoteza muda wao !!!.Bora lichukue maana sina mpango na wanaume wa bongo