Ushauri: Mke wa mtu ila ananitumia picha za utupu

Ahmed haji

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
65
Reaction score
63
Kuna binti nimekutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukaanza kuchati kwa siku chache akaanza kunitumia picha za ngono ikiwemo zake yeye binafsi haikuishia hapo akanambia ananipenda na ananihitaji niwe nae karibu ili aridhike moyo wake nifanye nae mapenzi.

Mimi ni mume wa mtu na nina familia yangu nae pia mke wa mtu. Mumewe muda mwingi anakua safarini kwa ajili ya biashara zaidi, dini zetu tofauti yeye ni mkristo mimi Muslim.

Naombeni ushauri wana JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna binti nimekutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukaanza kuchat kwa siku chache akaanza kunitumia picha za ngono ikiwemo zake yeye binafsi haikuishia hapo akanambia ananipenda na ananihitaji niwe nae karibu ili aridhike moyo wake nifanye nae mapenzi. Mm ni mume wa mtu na nina familia yangu nae pia mke wa mtu. Mumewe muda mwingi anakua safarini kwa ajili ya biashara zaid dini zetu tofauti yeye ni mkristo mm Muslim. Naombeni ushauri wana Jf

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza kuwa tapeli, picha za uchi anazokutumia zinaweza zikawa si zake.

- Na wewe ukijidanganya kumtumia zako, ATATISHIA umpe PESA ili asiziweke PUBLIC Mitandaoni ( Kumbuka kama una FAMILIA ni mtu wa HESHIMA )
USHAURI: Kuwa makini na MITANDAO na KOMAA NA FAMILIA YAKO
 
mkuu mbona unachanganya mambo yani mke wa mtu na upo kwenye ndoa sasa swala la dini linahusika vipi unataka kuoa mara ya pili?
nilijaribu kumnasihi abadili dini lkn haikuwezekana anachosema hayupo tayari na anampenda mumewe ila mm nibaki kuwa nae na yupo tayari hata nimtumie nauli aje zenj mana yy yupo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza kuwa tapeli, picha za uchi anazokutumia zinaweza zikawa si zake.

- Na wewe ukijidanganya kumtumia zako, ATATISHIA umpe PESA ili asiziweke PUBLIC Mitandaoni ( Kumbuka kama una FAMILIA ni mtu wa HESHIMA )
USHAURI: Kuwa makini na MITANDAO na KOMAA NA FAMILIA YAKO
baadhi ya picha ni zake kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna binti nimekutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukaanza kuchat kwa siku chache akaanza kunitumia picha za ngono ikiwemo zake yeye binafsi haikuishia hapo akanambia ananipenda na ananihitaji niwe nae karibu ili aridhike moyo wake nifanye nae mapenzi. Mm ni mume wa mtu na nina familia yangu nae pia mke wa mtu. Mumewe muda mwingi anakua safarini kwa ajili ya biashara zaid dini zetu tofauti yeye ni mkristo mm Muslim. Naombeni ushauri wana Jf

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yako yamekamilika, ndomana sioni sababu ya kukushauri
 
Kuna binti nimekutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukaanza kuchati kwa siku chache akaanza kunitumia picha za ngono ikiwemo zake yeye binafsi haikuishia hapo akanambia ananipenda na ananihitaji niwe nae karibu ili aridhike moyo wake nifanye nae mapenzi.

Mimi ni mume wa mtu na nina familia yangu nae pia mke wa mtu. Mumewe muda mwingi anakua safarini kwa ajili ya biashara zaidi, dini zetu tofauti yeye ni mkristo mimi Muslim.

Naombeni ushauri wana JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwakuwa umetaja dini basi ushauri ni kuzingatia yale yote vitabu vitakatifu visemavyo
 
nilijaribu kumnasihi abadili dini lkn haikuwezekana anachosema hayupo tayari na anampenda mumewe ila mm nibaki kuwa nae na yupo tayari hata nimtumie nauli aje zenj mana yy yupo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
duuuh dunia imekwisha jamani, ila kama wewe ni mume wa mtu unajua kabisa ile kuliwa mke wako inavyouma.
usichopenda kutendewa usimtendee mwenzako
 
Kucheza na mke wa mtu si jambo jema!! Mweke mkeo kwenye nafasi hiyo uone inavyouma!!! Kuwa strict mueleze huhitaji hizo picha akamtumie mumewe ili amuwaze safari nzima!!
 
Na hapo pa kuwa strict ndio keshafeli. Labda awe anamtumia hizo picha kwa njia ya sanduku la posta!! Vinginevyo kama ni email, whatsapp, facebook kote ana uwezo wa kum-block!!! Keshanogewa huyu! Kuna maamuzi huhitaji kushauriwa.
 
Wamekutana hao, lao moja
 
Back
Top Bottom