Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,858
Moja kati ya makosa makubwa kwenye maisha ya wana ndoa ni kumlinganisha mwenzi wako na mwanaume/mwanamke mwingine
"Si ufanye kama mama James"
"Mbona baba James kamnunulia mkewe, we unashindwa nini"
My dear yaeza kuwa pengine umefanya mringanyo kwa namna ya kawaida kabisa, lakini tafsiri halisi ya mlinganyo huo anaijua uliye mwambia, na namna atakavyo uchukulia mlinganyo huo, itabaki siri yake lakini ipo siku.
Ndimi, mwanandoa hewa.