Ephisians 5:22-33 Inasema wanaume wapendeni wake zenu na nyinyi watawaheshimu. Hivi utamheshimu vipi mtu asiyekupenda? Basi mtakapoongeza mapenzi na sisi tutaongeza heshima kwenu.
22 Wake...
Wale tulioko kambi moja ya ubachela kama mlikuwa mnatafuta sababu za kutokuoa someni hii.!!!
Bachelor Carl Weisman got fed up of being classified as a playboy, a loser or a commitment-phobe so...
Aisee wadau, tunaomba kampani kesho Dar, naingia na mshkaji wangu flani hivi hapo mjini. so washkaji na wadada ambao tunaweza tukachil pamoja kesho kuanzia saa kumi na mbili jioni njooni PM niwape...
Salaam wadau,
Mwanamke ni mwanadamu aliekuwa na kipawa pekee cha ushawishi na uchawi wa mvuto kwa mwanaume yeyote angalia mwanamke hata angekuwa amechukua sura ya baba yake lakini hatokosa mume...
Mambo ?
Jamani leo nakuja na mada hii special kwa wote ambao wapo kwenye mahusiano kabla ya ndoa.
Kuna janga nimeliona ndugu zangu. Naomba tujadili leo kwa mapana maana litatusaidia wengi.
Mara...
Aisee habarini, wadau nina ahadi ya kukutana na mdogo wa rafiki ya mke wangu nikampige gemu Ijumaa ijayo. Sasa nataka nikapige gemu la ukweli na kuachana nae mazima.
Sasa juzi nimekaa nikasema...
Wasalamu JF members,kuna mtu ametoka kupost uzi akiuliza upi umri sahihi wa kijana kuhama nyumbani na kwenda kujitegemea, comments nyingi zinawalenga wanaume Sanaa....
Hivyo naomba kujua mtt wa...
Wadau,
Mimi ni mtunzi chipukizi wa simulizi mbalimbali, pia ni mwanachuo (Bed in psychology) nina simulizi mpya kwa sasa imeshatoka sehemu ya 1, 2 na 3, nimeona nilete na hapa tupate kushare...
Love is like a journey like wise to life,
Life is full of challenges,war and is a journey.
But,behind every successful story there are losses,struggles and Battles,many wins but the most common...
Ninampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv..
Jana aliniita kwake kua anaumwa ajisikii poa nami nikaenda kwake kama kumuona kufika kumbe mtu mzima tu et nilitaka nijue kama unanipenda
Sababu mda...
mimi ni mwanaume wa miaka 31 nipo dar nimeajiriwa natafuta msichana wa kuoa nimechoka kuwa mpweke nataka family awe na umri kuanzia miaka 23 kuendelea asiwe ametumia mkorogo elimu kuanzia kidato...
There’s no doubt chasing after a girl you like can be pretty worrisome, knowing it’s either a hit or a miss. But before you kill all your hopes you have of winning Cinderella over, you need to get...
Mungu alimuumba Adam na kumuweka kwenye bustani ya Eden(Eden means the presence of God and not a place,ndo maana hakuna ajuaye edeni ilipo.kwa nliowaacha soma kitabu "praise and worship" by the...
Za jioni jamani,weekend ndo inaendelea hiyo Na Mimi nimeona bora niwakumbuke majembe yangu.
Kwa wale wenye mtoko Wa club au bar haya hapa mautundu yatakayo kuhakikishia kuondoka Na Mrembo...
Jamani wana JF wenye uzoefu mnisaidie,
Mzazi mwenzangu kaniganda japo nimemwambia simpendi naomba tuachane kwa amani alinipa masharti yote nimetekeleza lakini karudi kwangu.
Nilimpatia pesa...
Wadau,
Kwa sasa nipo Tanga aisee acheni "wadada wa huku ni wakarimu sana na wana maneno matamu sana hadi sasa kuna wadada karibia wawili nimeshawapata.
Hawa wadada wa huku wako tofauti na...
Habari zenu!
Natafuta rafiki wa kike aliye huru na muda wa kutosha kua kalibu na mimi awe anaishi Dar es salaam au hata mikoa jirani.
Mimi najitegemea na bado sijaoa na nimuajiliwa kwenye...
Mwanaume aliyeoa Mwanamke ' mbea ' kupindukia na Mwanamke aliyeolewa na Mwanaume ' muongo ' hakuna mfano nani kati yao anaweza kujivunia kuwa ana afadhali kidogo na kapotea maboya?
Inasemekana...
Habari zenu wanabodi.
Nimatumaini yangu mu-wazima wa afya njema.Naomba nijielekeze kwenye mada husika pasi na kuwachosha.
Kilichonifanya kujiuliza swali hilo hapo juu ni kutokana na mfululizo wa...