madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
Salaam wadau,
Mwanamke ni mwanadamu aliekuwa na kipawa pekee cha ushawishi na uchawi wa mvuto kwa mwanaume yeyote angalia mwanamke hata angekuwa amechukua sura ya baba yake lakini hatokosa mume na ni kiumbe mrahimu msikivu na mwenye upendo.
Lakini hapo hapo mwanamke ndio kiumbe hatari na mwenye roho mbaya kuliko wote,
1.Mwanamke anaweza kukuumiza kimapenzi halafu asijali.
2.Anasababisha familia kufarakana na marafiki kuvunja uhusiano, baba na mwana kutosalimiana milele.
3.Husababisha wanafunzi kufeli na kufungwa.
4.Husababisha madereva kufanya ajali na watu kufilisi makampuni na kuishia jela.
5.Husababisha hata jambazi lenye ujasiri likalegea na kutii amri ya mwanamke likakamatwa uchi tena bila nguo.
6.Watu kujinyonga na kupooza kurukwa na akili.
7.Mtu kumkana mama yake mzazi.
Ni mambo mengi nikiyaorodhesha yote itafika mwaka, ila kwa kuwa ni kiumbe chenye roho mbaya na hakijali lolote akiamua huwaacha yatokee na wala hajutii inawezekana akiwa anafikiria uhusiano wake mpya aliouanzisha, hapo hata akipigiwa simu ambiwe wewe unakata roho kwa ajili yake jibu lake litakuwa mwache si anakufa mwenyewe kwani nakufa mimi, hapa kuna siri kubwa sana hata mwanaume atendwe vipi lakini ni wachache wenye msimamo wa kutorudi na wengi hurejea na hapa ndio uchawi wake mwanamke unapodhihirika na kusema hadharani nilikuambia hapa panaitwa mtakuja.
Angalia hapa talaka unatoa wewe lakini baadae unachanganyikiwa na hata ukifanyiwa kisa bado unakuwa mzito kutoa talaka kuna nini hapa kuna siri gani iliyojificha ndani ya mwanamke juu mwanaume au ni uchawi.
Nisaidieni wadau mimi ni mhanga!