KAMPANI IN DAR

KAMPANI IN DAR

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
13,976
Reaction score
22,419
Aisee wadau, tunaomba kampani kesho Dar, naingia na mshkaji wangu flani hivi hapo mjini. so washkaji na wadada ambao tunaweza tukachil pamoja kesho kuanzia saa kumi na mbili jioni njooni PM niwape ratiba. Just chilling chimbo moja hivi sio shobo.......
 
Aisee, chakula kitakuwepo?? usalama wa raia na mali zake je??
 
Aisee, chakula kitakuwepo?? usalama wa raia na mali zake je??
Hahahahahahhaha! Mkuu wewe ni miongoni wa wadau humu nawaheshimu sana. wewe pumzika mkuu hizi ya kesho itakuwa ndefu mno
 
Ngoja nimuandae Dada Chausiku aje kukupa kampani.Usiogope huyu Dada ni MTU mzuri tu,mkalimu sana isitoshe kajaariwa chura.Yeye ni muhudumu pale corner bar
 
Jinsia pinzani ingekuwapo ningeibuka....sasa dah
 
Ngoja nimuandae Dada Chausiku aje kukupa kampani.Usiogope huyu Dada ni MTU mzuri tu,mkalimu sana isitoshe kajaariwa chura.Yeye ni muhudumu pale corner bar
Aje mwenyewe PM kwa nini umuandae?
 
Back
Top Bottom