Ladies, few things you must know before dating

Good Neighbour

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
942
896
Mungu alimuumba Adam na kumuweka kwenye bustani ya Eden(Eden means the presence of God and not a place,ndo maana hakuna ajuaye edeni ilipo.kwa nliowaacha soma kitabu "praise and worship" by the late dr Myles Munroe)

1.Mwanamke unahitaji mwanaume aliye na hofu ya Mungu na aishiye maisha yampendezayo Mungu(This is because the the first and most important thing a man needs is the presence of God)

2.mwanamke unahitaji mwanaume anayefanya kazi na anayependa kufanya kazi.Achana na false hopes kuwa tutatafuta wote,unahitaji kutunzwa na mwanaume atayejenga familia vizuri(If we are to be practical)
Hata Adam alipewa kazi ya kutunza(cultivate) bustani kabla ya kuletewa msaidizi(mwanamke).Ladies you need a man who works and loves to work).

3.Mwanaume hawezi kupewa mwanamke aliyekamilika sababu yeye ndiye mwenye jukumu la kumtengeneza mwanamke kujenga Familia bora.Hivyo mwanamke anapaswa kuwa msikivu na msaada kwa mwanaume kuyafikia malengo.
Adam alipowekwa kwenye bustani ya Eden alipewa kazi.His work was to cultivate the garden!to cultivate means to bring out the best in everything around you.So men have the work of improving their women,mwanaume mjenge mkeo hata umuonapo mbele yako au mbele ya watu wengine unajivunia.You say,ohh that is my Baby"

(Niendelee?ohhh it's too much for you)

4.Maandiko yanasema haipendezi kwa mwanaume ambaye ;
-anaweza kukutunza
-ana hofu ya Mungu
-anaweza kukufundisha neno la Mungu na misingi bora ya maisha
-anaweza kukulinda
Kuishi peke yake.ila kama hawezi hayo It is better for that man to continue being single.
NB:soma kwa hekima naamini utanielewa vizuri.
Thank you so much for your time folks.
.......Good neighbour.......
 
[/ATTACH]
 
Attachments

  • tapatalk_1503507911374.jpeg
    tapatalk_1503507911374.jpeg
    45.5 KB · Views: 94
Wameelewa ila wanajifanya hayawahusu, visingizio vya mwanaume mashine nimekuja kutokana na wanaume kutopenda kufanya kazi kutafuta hela hivyo kuamua kujiuza(kutumia kiungo chao) ili kujikimu kimaisha, mwanaume sio mashine tu mwanaume ni yule anayeweza kukabiliana na changamoto za maisha hasa katika kuboresha maisha ya familia yake
 
Perfect
 
wazo laku zuri.. ila linatekeleza ikiwa all other factor remain constant....

wanaume wenye hofu ya mungu wengi maskini ambao hamuwataki kwa kusingizia hawawezi kuwatunza...

pili ke ni wengi kuliko me.. kuna wachache wenye vigezo vyote ambapo katika ration unakuta me mmoja mwenye sifa zote wanawake 20 wanamtaka huyo huyo... so ushindani unaingia kati ambapo ili ushinde hilo shindano inabidi uwe na vigezo pia ambapo hivyo vigezo wadada wengi hamna...

tatu, usisahau hakuna mwanamke ambae hana nguvu za kike.. ila kuna wanaume wengi wenye sifa zote nao hawana nguvu za kiume.. wameamua kutooa kabisa... hapo sasa law of demand na law of supply zinapoingia kati...
 
Ndio mana niliweka NB freshman,ninachozungumza mimi na wewe ni tofauti.Tunazungumza mahusiano yatakayozaa ndoa itakayodumu,sio uchambuzi huo
NB; ulichozungumza ni point sana tu ila si sanjari na mada yangu
 
wazo laku zuri.. ila linatekeleza ikiwa all other factor remain constant....

wanaume wenye hofu ya mungu wengi maskini ambao hamuwataki kwa kusingizia hawawezi kuwatunza...

pili ke ni wengi kuliko me.. kuna wachache wenye vigezo vyote ambapo katika ration unakuta me mmoja mwenye sifa zote wanawake 20 wanamtaka huyo huyo... so ushindani unaingia kati ambapo ili ushinde hilo shindano inabidi uwe na vigezo pia ambapo hivyo vigezo wadada wengi hamna...

tatu, usisahau hakuna mwanamke ambae hana nguvu za kike.. ila kuna wanaume wengi wenye sifa zote nao hawana nguvu za kiume.. wameamua kutooa kabisa... hapo sasa law of demand na law of supply zinapoingia kati...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom