Kwanini wadada Tanga huwa ni wakarimu sana na wenye maneno laini kwa mwanaume?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,199
3,592
Wadau,

Kwa sasa nipo Tanga aisee acheni "wadada wa huku ni wakarimu sana na wana maneno matamu sana hadi sasa kuna wadada karibia wawili nimeshawapata.

Hawa wadada wa huku wako tofauti na sehemu zingine yaani hata kama huna pesa mfukoni unaweza kujiona wewe tajiri kwa jinsi wanavyojua kukuhandle, tangu nifike huku hadi sasa sijawahi kusikia wanaume wakipewa majina ya ajabu wala kudharauliwa wala kutukanwa.

Jamani kwa kifupi Tanga sio mchezo ukija huku unaweza usirudi tena kwenu, jamani wadada wanaotokea huku hebu tupeni siri za Tanga.
 
Kwasababu binti anakuwa anaona mfano kutoka kwa mama yake jinsi anavyomjali na kumnyenyekea baba yake lkn nashkr hakuna anaye muonea haya binti yake kumwambia vya kumjenga baadae

Na kule bana utanyimwa vingine lkn sio maneno mazur na mabaya pia ukiyatafuta utayapata hadi usahau ulipotoka

wanawake wa Tanga wanaenzi sana wazee wao hawataki kupoteza sifa zao na ndio maana secta nyingi wanaeleweka sana

Kupika
kunyenyekea
Busara
Usafi
.......
Ucheshi

TANGA RAHA
 
Sita kwa sita je ?
 
Dah swaiba hongereni sana katika hilo kiukweli aiseeee
 
Back
Top Bottom