Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
1. Mapokezi Mazuri Baada ya kurudi kutoka kazin, safarini, au popote pale palipowatenganisheni: * Anza kwa maamkizi mazuri * Anza kwa Assalaamu 'Alaykum na tabasamu. *Salaam ni Sunnah na ni duaa...
15 Reactions
85 Replies
11K Views
Mahusiano mengi ya mapenzi siku hizi,yamekuwa ni ya maigizo(Drama)sana kuna baadhi ya watu wanakuwa katika mahusiano na watu flani kwa sababu ya "show off" na kuwa "impress" watu wengine,unakuta...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
  • Closed
Mapenzi yana wenyewe jamani! Mimi nanawa mikono [emoji119] Tangu niyajue furaha ni 40% wenge na huzuni 60%. Muda mwingine yananiharibia status yangu kwa watu wangu wa karibu... Nakuwa na hasira...
13 Reactions
153 Replies
18K Views
Habari wakuu, Nimekuja mkoani Mwanza kikazi na nipo huku kwa wiki ya tano sasa naishi kwenye hotel moja kubwa tu. Kilichonifanya niandike huu uzi kwenye jukwaa hili pendwa ni kwamba, nimepokea...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Kama mwanaume alikua anakupenda, lakini kwa sababu yoyote ile akakuacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine. Dada yangu acha kujidhalilisha kwa kuendelea kutoka na yule mwanaume, iwe ni kwa kumkomoa...
2 Reactions
17 Replies
9K Views
Nilikuwa na mpenzi aliyenipenda sana. Ila tatizo lake alikuwa anakunywa sana pombe mpaka kufikia kunikera. Asipokunywa pombe siku hiyo atahakikisha anatafuta hata kwa kukopa kwenda kunywa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu... Kwa mara nyingine tena nimekuja na mada nyingine tena. Japo kila mtu ana kasoro zake ila kuna tabia ndogo ndogo ambazo huleta maharibiko kwenye mahusiano na kuufanya uhusiano...
11 Reactions
78 Replies
13K Views
Ni hivi ni mara ya pili nakutana na zali la kukutana na warembo na kuongea na kuzoeana na mwishoni kuombana namba Ilaa hili la leo ni kosa la pili nimerifanya bila kujijua baada ya kumpa binti...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Jamani nipeni ushauri, Mpenzi wangu hataki nishike simu yake hivi ni kweli kuna upendo hapo. Mahusiano yana miezi nane nikichukua simu kwa nguvu ana nuna eti anasema hadi namchunguza simwamini...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Nimeishi ya mwanamke kwa miaka mitatu na tuna mtoto mmoja. Ila hajufunga ndoa. Jana nimekuta jumbe za mapenzi za mwanaume akimtumia mpenzi wangu zinazoashiria alikuwa akichepuka...
2 Reactions
80 Replies
7K Views
  • Poll Poll
Habari yako bwana mshana jr Bwana mshana kutokana na mada mbali mbali za kimani za kidunia umekuwa ukitujuza mambo mengi sana Sasa kuna hii mpya nimemsikia ya kwamba Kuna baadhi ya wanawake au...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nitaandika story hii kwa urefu, lakini naomba jikaze uimalize kusoma mpaka mwisho kwani niko katika wakati mgumu sana, najisikia kuua kama sio kujeruhi au vinginevyo. Nimekuwa nikisikia na...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
Kama unajijua umeolewa, umeoa, au upo kwenye mahusiano basi jitahidi uonekane upo hivyo. Kama upo kwenye ndoa basi act kama upo kwenye ndoa na kama unajua umeshachukuliwa basi onekana kweli kama...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
* Hupenda kukuona mara kwa mara hata kama hajapata taarifa za ugonjwa. * Hupenda kukupigia sim mara kwa mara hata kama umelala. * Hupenda kukuletea vizawadi kila anapotoka safarini. * Hupenda...
16 Reactions
120 Replies
37K Views
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenyuuu nyotee, Mahaba yamenidondokea hadi hii chemchem ya huu wimbo umetoka huko ndani ya sanduku la kumbukumbu na umfikie mahabat wa Kasie. .... Mi nataka kuwa na wewee tuu.... Kuna...
7 Reactions
117 Replies
14K Views
Amani kwenu Leo nitawapa kipande kidogo cha stori wakati nilipokuwa teja na mungu akijali nitawapa kisa mfululizo ndani ya si chini ya miaka 15 nilipokuwa na mke wa kihindi kabla ya kumtaliki...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Aisee sijui ndio hali ngumu au vipi...kwakifupi wanawake mmejizira miili yenu aisee..inafika kipindi mwanamke unaepishana nae Lazima usikie Harufu ya kwapa au kisusio....au domo kutema kama...
1 Reactions
138 Replies
13K Views
Kichwa cha habari kinajieleza.kwa bongo hakuna kitu Kama hicho. Hakuna mwanamke wala mwanaume ambae hajachepuka in 10 yrs kwenye ndoa. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Sifa zangu zangu Umri: 27, Dini: mkristo. Naishi: Dsm Kazi: mjasiliamali Mengine PM. SIFA ZA NIMTAKAYE Dini: yoyote mwenye hofu ya MUNGU. Kabila: lolote Rangi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…