James alamba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 216
- 106
Jamani naomba ushauri nifanyaje ili niweze msahau ex wangu maana imekuwa ngumu sana kumsahau.
Jamany naomba ushauri nifanyaje ili niweze msahau ex wangu maana imekuwa ngumu sana kumsahau..
Mengi aliofanya ni mazuri mpaka nasahau mabayaKumbuka mabaya yooooote aliyokutendea.
Nani alimbwaga mwenzie?
Kwa nini?
Shida anapiga simu sana.. nisipokea atatuma sms anajidai ananisalimia nashindwa kumuelewa anamaanisha nnTafuta mpenzi mwingine acha kujiendekeza
Move on kata mawasiliano naye, you wont die , wewe mtoto wa kiume plz pinguza kulalamika chukua hatua
Haya now go work on it
Ili umsahau lazima 'umuue' huyo ex wako moyoni mwako.Mengi aliofanya ni mazuri mpaka nasahau mabaya
Yeye maana alisema anataka kuwa mwenyew ...yaan awe single n sijui nn chanzo..
Nigee namba yake nimwambie wewe hautaki mazoea akuache.Shida anapiga simu sana.. nisipokea atatuma sms anajidai ananisalimia nashindwa kumuelewa anamaanisha nn
Mblock muoneshe uko sriaz you want to move on.Shida anapiga simu sana.. nisipokea atatuma sms anajidai ananisalimia nashindwa kumuelewa anamaanisha nn
Asante mkuuMblock muoneshe uko sriaz you want to move on.
Yaan huna suluhisho zaid ya kukata mawasiliano
Usjali kaka nilisha wahi kuwa kwenye situation kama yako, ina umiza lakin lazima maisha yaendelee na unajikaza kiumw una bear maumivu siku yataisha.Asante mkuu
Kukata mawasiliano Ndo the only solution.Mblock muoneshe uko sriaz you want to move on.
Yaan huna suluhisho zaid ya kukata mawasiliano
Kama alikufanyia mazuri tu, kwanini mliachana?Mengi aliofanya ni mazuri mpaka nasahau mabaya
Yeye maana alisema anataka kuwa mwenyew ...yaan awe single n sijui nn chanzo..
Good point, asipo fanya hivo atakuwa kila sku anajiuliza afanyajeKukata mawasiliano Ndo the only solution.
Si umblock kama anakusumbua?au ubadilishe line?Shida anapiga simu sana.. nisipokea atatuma sms anajidai ananisalimia nashindwa kumuelewa anamaanisha nn
Ndio ukubwa huo,yaani ukiona watu wanaoana huko nje usidhani wanapendana saaaana!!La hasha,bali wameamua kukubaliana na ukweli na kuendelea na maisha mengine kwa amani...