Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
Napita sehemu nikasikia mhubiri anahubiri kwamba nyumba ndogo ni nyoka. Nikatafakari sana hilo neno.
Kumbe inawezekana kabisa kuna nyumba yanaishi manyoka tupu, kwa sababu yawezekana baba mwenye nyumba ni kijana kwa mfano, ila kuna jimama huko nje ndo linamlea na kijana anajituma hasa. Kijana kwa hilo jimama ni kama nyumba ndogo vile
Na kwa upande mwingine, mama mwenye nyumba(yaan mke wake) kuna dingi huko nje anajisevia kila wiki akitaka. Na wala mchizi wake hajui. Na yeye pia ni kama nyumba ndogo.
Sasa hawa wawili kwa mujibu wa huyo jamaa anayehubiri, wote ni MANYOKA sasa...!!! Au falsafa ya kuwa "nyumba ndogo" haipo kwetu wanaume..??