Mwanamke 'kushare' kipato na mumewe ni sawa?

Mwanamke 'kushare' kipato na mumewe ni sawa?

Kalaudi

Senior Member
Joined
Apr 16, 2017
Posts
112
Reaction score
100
Kwa wote,

Kama wewe hapo ulipo ulipendana na mwanaume mkatarajia kuoana na mwanaume na baada ya kuoana, baada ya siku mwanamke ukaja kujua kama mumeo hana kipato kizuri, hana uwezo wa kujenga nyumba mmepanga na mkeo anafanya kazi yaani mnasaidiana katika kodi na mambo mengine.

Kabla ya hapo mumeo alikua anamshauri mkewe ili kushare ili kununua nyumba lakini mkewe alikua anakataa. Husband kishajaribu njia zote lakini imeshindikana. Ni kila mara sasa mkewe anauliza lini tutapata sehemu yetu na sisi na wakati yeye ndie alikataa kuanzia mwanzo.

Je hapo nani wa kulaumiwa?

I hope you Understand my Question.

Please share
 
Ni sawa kutokana na makubaliano yao ya ndani na kila mmoja anavyomchukulka Mwanza wake na maendeleo ya familia yao kwa ujumla.
 
Kinacho jenga familiar bora ni upendo na si kipato kama upendo upo kilichopo ni chetu bila kujali nani kaleta na maendeleo ni yetu bila kujali nani kafanikisha tofauti ya hivyo ni upendo haupo ubinafsi kapewa nafasi familiar haipo hapo mungu atuepushe na ubinafsi
 
Back
Top Bottom