Warembo mpoo kama wewe siyo mrembo kaa kimya subiri train ya bara!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hili jukwaa nalipenda sana kila siku lina visura vizuriii sasa naomba mrembo mmoja wakuongea naye pale kwenye hotel maarufu ya kitalii ila usije kuleta mambo ya kiswazi ukaomba mzinga wakonyagi utanitia aibu maana pale wanauza kwa tot gin uje uswahili wako ukasema nipe Bappa ahaaa hatuendi hivyo mrembo njoo ila kuna watu wakuwaogopa wasije kukuita katika huu uzi
Asprin
Mtambuzi
Shark
Mentor
Jiwe Linaloishi
Watu8
Kaizer
Ben Mugashe
Siwatu wabaya ila ni wakujihadhari nao sana ila ndugu zangu nimewaita katika huu uzi tusalimiane.
 
Bazazi @ work

Najua mabinti wa JF wanajielewa hawawezi kuingia kwenye huu mtego...

Siku hizi hutaki tena mabaamedi?
 
Hili jukwaa nalipenda sana kila siku lina visura vizuriii sasa naomba mrembo mmoja wakuongea naye pale kwenye hotel maarufu ya kitalii ila usije kuleta mambo ya kiswazi ukaomba mzinga wakonyagi utanitia aibu maana pale wanauza kwa tot gin uje uswahili wako ukasema nipe Bappa ahaaa hatuendi hivyo mrembo njoo ila kuna watu wakuwaogopa wasije kukuita katika huu uzi
Asprin
Mtambuzi
Shark
Mentor
Jiwe Linaloishi
Watu8
Kaizer
Ben Mugashe
Siwatu wabaya ila ni wakujihadhari nao sana ila ndugu zangu nimewaita katika huu uzi tusalimiane.
AK hajambo kwanza??
 
Nyie wababu ndo nawaogopa kabsa
Hapana mi ni mtulivu. Sina matatizo na malady wa Kitanzania
upload_2017-9-20_16-59-29.jpeg
 
Back
Top Bottom