Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Toka nianze mahusiano huu ni mwaka wa 5 ni nishawah kuwa kwenye mahusiano na wanawake 25 kama si 27 lakin toka miaka yote...
Number ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu inapopigwa unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
Kama mnavyojua balehe ni hatua moja ambayo kjana anakuwa na mihemko sana na wakati huo huo kutongoza wengi hawafanikiwi kukubaliwa.
Hii hupelekea kuanza kupiga nyeto kujiridhsha na mtu akishaanza...
Bilashaka Jumamosi yenu ni tulivu,
Nimejikuta nawaza kwa sauti tu leo. Fungua mitandao ya kijamii uone wanawake na wanaume wanavo semana na kunangana kana kwamba wapo kwenye vita baridi...
Habari za usiku!
Nimekuja mbele zenu ndugu zangu nikiomba mawazo yenu na ushauri wenu kwenye hili tatizo linalotesa nitesa sana.
Mimi ni mwanamke nilie kwenye late 20's na kwasasa nipo kwenye...
Hello watoto wa kike mko njema?
Nataka mwanamke mmoja wa kunipa kampani for some days in Nairobi,
Sifa
Uwe Mrembo kweli
Uwe mrefu si mwembamba, Na
Uwe mtanashati jamani,
Ntakutumia nauli ya ndege...
Taasisi moja ya utafiti huko ughaibuni imegundua kuwa mwanaume anayejichua ananafasi kubwa ya kumzalisha mwanamke ukilinganisha na asiye jichua.
Kwamujibu wa Dk Mike mtu anayejichua mwili wake...
Habari za wakati ndugu wanajamvi. Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Ujue mimi ninashangaa sana pale ninapomwona mwanamume anasema ana rafiki wa kike.
Mwanamume unawezaje kuwa na rafiki wa...
Mpira kati.... Ngoja niende kwenye pointi moja kwa moja.
Kwa miaka mingi nimekuwa nikiona kama nimefanikiwa kudanganya wengi kuwa mimi ni mstaarabu na sishoboki kwa warembo. Katu huwezi sikia...
Ni hodari wa kuniambia ananipenda na kutumia maneno ya kimahaba kama honey, baby, habiby lakini ninapojaribu kutaka kutoka nae kila siku hupeke siku mbele mfano leo kataka tuonane mwisho wa mwezi...
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako...
Wakuu,
Hivi ikitokea siku mama yako amekuwa akikundanganya bila ya wewe kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni mama yako au kuwa baba yako ni huyu hasa kama umekulia nyumba hiyo, umesoma...
Salaam JF,
Mimi ni mwanaume 30 years mfanyakazi sekta binafsi.
Ninatafuta rafiki wa kike ili baadae Mungu akipenda awe mama watoto wangu.
Umri awe above 25. Awe anaishi mikoa ya Songwe, Iringa...
++
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ukubwa wa viungo vya unaofaa wakati wa mapenzi ili kumridhisha mwanamke.Wanaume wenye maumbile madogo (Kibamia kama inavyoanza kuzoeleka MMU) na wale wenye...
Naomba kuwasilisha hoja yangu kwenu,
Natafuta mwanamke ambae baadae Mungu akipenda awe mke wangu, mimi umri wangu ni miaka 30.
Naishi Dar es Salaam, ni muajiriwa wa private sector, mwanamke...
Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke mwenye hitaji la kupata mtoto kama mimi pia.
Awe na sifa zifuatazo:
1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.