Tutawaepushaje vijana balehe dhidi ya CHAPUTA?

Tutawaepushaje vijana balehe dhidi ya CHAPUTA?

babadullah

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
508
Reaction score
321
Kama mnavyojua balehe ni hatua moja ambayo kjana anakuwa na mihemko sana na wakati huo huo kutongoza wengi hawafanikiwi kukubaliwa.

Hii hupelekea kuanza kupiga nyeto kujiridhsha na mtu akishaanza huu mchezo huwa akasema leo tu spigi tena matokeo yake anakuwa mwanachama.

Natumai madhara ya nyeto tunayaona ukubwani ila ukiwa kwenye balehe hata ukiambiwa huamini mpaka yakukute.

Je, tutawaepushaje wadogo zetu na watoto wetu dhidi ya janga hili.

Toa maoni yako tuokoe hiki kizazi..

Nyeto siachi ng'oo!
 
sasa umesema Nyeto huachi ng'oo alafu unataka tuwashauri hapa hapa, wakikuuliza kwanini huachi ng'oo utasemaje..?
 
Enyi wazee msiwafuate wasichana wadogo ili wapendane na wavulana wadogo itasaidia villege wavulana wasiingie kwenye Huo mchezo
 
Mkuu nyeto INA niliwaza sana
e60baabd876775d1c47f9e7305639c49.jpg
 
Daah, Ila kiukweli punyeto sio nzuri. Na dawa ya kuiepuka ni kutoijaribu Ila ukishajaribu huwezi kuacha kiurahisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom