Nahisi najidanganya, Nisaidie nitoke hapa

Nahisi najidanganya, Nisaidie nitoke hapa

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Mpira kati.... Ngoja niende kwenye pointi moja kwa moja.

Kwa miaka mingi nimekuwa nikiona kama nimefanikiwa kudanganya wengi kuwa mimi ni mstaarabu na sishoboki kwa warembo. Katu huwezi sikia nikipiga stori za mademu mbele za watu. Watu uniona bonge la msure fulani hivi.... Lakini ukweli I am a silent killer.

Mtoto akiingia kumi na nane lazima achinjwe tu coz hakuna namna ya kuchomoka. Ila recently nimeanza kuhisi najidanganya mwenyewe coz michezo ninayofanya majuto yake nitayabeba mwenyewe. Sasa wakuu ebu nipeni ushauri jinsi ya kuepuka u silent killer. Japo ni kwa kujificha nimeshakuja kuona mgegedo ni basic need kama vile maji na msosi.

Naomba kuwasilisha.
 
kwanza ni ww mwenyewe uzinzi una cost sana na mwisho wake ni majuto usikubali hata siku moja tamaa zikawa mbelee kuliko malengo shetani ni ww mwenyewe sema na nafsi yako, weka vipau mbele jali kazi itakisaidia
 
we si unaona sifa huo u-silent killer endelea tu boss!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom