Mwanamke wa kunitunuku mtoto

Sakala Sakala

Senior Member
Sep 17, 2017
113
76
Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke mwenye hitaji la kupata mtoto kama mimi pia.
Awe na sifa zifuatazo:

1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe tayari kulea mtoto kwa kushirikiana nami

Sifa zangu

1. Miaka 32
1. Ninajitegemea kimaisha
3. Nipo tayari kupima afya
4. Nipo tayari kulea mwanangu

Nawasilisha
 
Incubator zipo nyingi tu .....unaetaka awe single maza ni nani kwa mfano......yaani mtoto umzalishe wewe halafu kumuoa akamuoe nani kwa mfano???..........eti anayejitegemea kiuchumi sijui nini msiiiiiiiiiiiew
 
Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke atakayenitunuku mtoto (kunizalia).

Hivi hayo maadili na tamaduni umekopi kutoka nchi gani?
 
Incubator zipo nyingi tu .....unaetaka awe single maza ni nani kwa mfano......yaani mtoto umzalishe wewe halafu kumuoa akamuoe nani kwa mfano???..........eti anayejitegemea kiuchumi sijui nini msiiiiiiiiiiiew

Si lengo langu kuongeza idadi ya single mothers. Na pia hata single mother kwangu hana tatizo akipendezewa. Hizo incubator unamaanisha binadamu wenzako au?
 
Baada ya miaka 10 na mim ntafanya ka wew mkuu hiz habr za kuoa n kuzeeshana tu
 
Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke atakayenitunuku mtoto (kunizalia).
Awe na sifa zifuatazo:

1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe tayari kulea mtoto kwa kushirikiana nami

Sifa zangu

1. Miaka 32
1. Ninajitegemea kimaisha
3. Nipo tayari kupima afya
4. Nipo tayari kulea mwanangu

Nawasilisha
Bora usipime HIV lakini upime homa ya ini( hepatitis B)
 
Umenifanya nicheke kwa sauti
Cheka tu mwaya....kukwepa tu majukumu ..mana kusema anaejiweza kiuchumi...mara atakaesaidiana nae malezi ya mtoto

Hapo wewe mama ndio usitegemee hata sent tano yake...halafu huyo mtoto ukae nae wewe mama....

Wakati huo huo ...wanaume hao hao mnawasema kila siku single mamaz....

Haya akishamzalisha nani amuoe?
 
Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke mwenye hitaji la kupata mtoto kama mimi pia.
Awe na sifa zifuatazo:

1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe tayari kulea mtoto kwa kushirikiana nami

Sifa zangu

1. Miaka 32
1. Ninajitegemea kimaisha
3. Nipo tayari kupima afya
4. Nipo tayari kulea mwanangu

Nawasilisha
Nadhani ungesema unatafuta mke wa kuoa kabisa na si mwanamke wa kuzaa nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom