Gods very own
Senior Member
- Jul 1, 2017
- 124
- 66
nani ashawahi kutoroka home? kwa sababu yeyote ile,ugomvi au chochote na akaenda kuanzisha maisha yake na akatusua?
We jamaa ni lichawi eti? Mbn km umemuongelea ndg yangu?nani ashawahi kutoroka home? kwa sababu yeyote ile,ugomvi au chochote na akaenda kuanzisha maisha yake na akatusua?
kwanini alitoroka? alitusua?We jamaa ni lichawi eti? Mbn km umemuongelea ndg yangu?
kuaga ni vigumu mana ni ugomvi wa kifamilia,no kuongeleshana,sa hayo maisha hadi lini?Utoroke afu utusue mhh sijui itawezekanaje, ila kwa upande wangu mimi naamini ukiaga utapaata baraka zote then nenda possibility ya kutusua ni kubwa, japo sio guarantee.
Mungu pekee ndiye ajuaye maisha yako ya baadae, mwombe yeye.
ndioUtoroke nyumbani Kwan kuna vita!!
kuwa chanzo cha amani nyumbani kwenu !!ndio
Bado hajatusua ila ametorokakwanini alitoroka? alitusua?