Nimemgundua hataki kutoka na mimi

Nimemgundua hataki kutoka na mimi

immasakha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
489
Reaction score
282
Ni hodari wa kuniambia ananipenda na kutumia maneno ya kimahaba kama honey, baby, habiby lakini ninapojaribu kutaka kutoka nae kila siku hupeke siku mbele mfano leo kataka tuonane mwisho wa mwezi wa 10 na hata siku ikikaribia sababu hazimalizi mara anaumwa mara yupo kwenye siku zake kiasi kwamba mpaka ninashindwa kuelewa lengo lake.

Nitumie njia gani ili niweze kutoka nae au nijue lengo kuu lake yeye kwangu mimi?
 
Sasa tukusaidie nini kusoma hujui picha nayo huoni kimbia wapo wengi hao tafuta wa kufanana nawe sio unalizimisha kila kitu hilo sio kabati utateseka sana
 
Ni hodar wa kuniambia ananipenda,na kutumia maneno ya kimahaba kama honey,baby,habiby lakini Ninapojaribu kutaka kutoka nae kila siku hupeke siku mbele mfano leo kataka tuonane mwisho wa mwezi wa 10 na hata cku ikikaribia sababu hazimalizi mara anaumwa mara yupo kwenye siku zake kiasi kwamba mpaka ninashindwa kuelewa lengo lake,
Nitumie njia gani ili niweze kutoka nae au nijue lengo kuu lake yy kwangu mimi?

Utoke nae uende nae wapi? Toka mwenyewe achana nae mkuu.
 
Ni hodar wa kuniambia ananipenda,na kutumia maneno ya kimahaba kama honey,baby,habiby lakini Ninapojaribu kutaka kutoka nae kila siku hupeke siku mbele mfano leo kataka tuonane mwisho wa mwezi wa 10 na hata cku ikikaribia sababu hazimalizi mara anaumwa mara yupo kwenye siku zake kiasi kwamba mpaka ninashindwa kuelewa lengo lake,
Nitumie njia gani ili niweze kutoka nae au nijue lengo kuu lake yy kwangu mimi?
Anza kumpa hela, utakuja kuleta mrejesho
 
Back
Top Bottom