Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Taasisi moja ya utafiti huko ughaibuni imegundua kuwa mwanaume anayejichua ananafasi kubwa ya kumzalisha mwanamke ukilinganisha na asiye jichua.
Kwamujibu wa Dk Mike mtu anayejichua mwili wake hujenga tabia za kuzalisha mbegu nyingi kwakuwa matumizi ni makubwa hivyo asipojichua kwa siku 3 mfululizo kabla ya kukutana na mwanadada aliye ktk siku za hatari atamwachia mwachia mbegu nyingi sana (mara 2.3 ya asiye jichua) maana mwili utakuwa umezalisha na hazijatumika kwa siku 3 na zitakuwa na pressure kubwa hivyo kufikia yai kirahisi.
Alipo ulizwa endapo anashauri vijana wengi kujiunga chaputa au la Dr Mike alicheka na kusema yeye ni mtafiti na si mshauri.
My take: Mambo ya kutafiti sikuhizi sijui yameisha!