Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari za saa hizi wanajukwa?moja kwa moja nielekee kwenye mada katika maisha ni kawaida kumpongeza yeyote mwenye jitihada katika mambo ya kawaida.ila huwa tunasahau kuwapongeza wenzetu kutokana...
4 Reactions
101 Replies
6K Views
SABABU INAYO PELEKEA MAHUSIANO MENGI KUVUNJIKA. Sababu inayopelekea mahusiano yavunjike ni kwamba watu hawana upendo wa kweli (AGAPE LOVE) upendo ambao hau angalii cheo cha mtu, hau angalii...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Natumai ni wazima.. Lengo la kuanzisha uzi humu ni kutaka msaada wetu wa mawazo jinsi ya kuishi na mume mkali. Nina miaka minne kwenye ndoa na watoto wawili. Kwa kweli nampenda mume wangu na...
4 Reactions
174 Replies
14K Views
Habari zenu wana JF, Kuna binti nikimuacha yaani tukivunja uhusiano analia na kunibembeleza turudiane katika mahusiano, lakini nikimpatia maelezo mazuri huyapuuza mfano tukipanga tuonane mahali...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Hua nikiwaona dada zangu wanaopenda kwenda club hua najiuliza maswali mengi sana Kunawadada wako addicted na club mpaka baasi.Bora akose chakula lakini club lazima aende Hua nikiangalia mavazi...
3 Reactions
83 Replies
11K Views
Mi ni binti natafuta mwanaume atakayekuja kuwa mume na baba watoto wetu tutakaopata. Awe mkristo mi pia ni mkristo. Awe na urefu na fut 6. Awe kazi ya kutunza familia. Umri 32-38. Asipende sifa...
2 Reactions
44 Replies
13K Views
HAZINA YA MOYO Mtu huwaza na kuyasema yale yalio ujaza moyo wake. Moyo wa mtu ukijaa mambo hasi unamfanya mtu huyo awaze na kusema mambo hasi. Lakini moyo ukijaa mambo chanya unakufanya uwaze na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtuelewe tunapodanganya,Mi ni degree holder,nafanya kazi ofisi flani,baby nakupenda kabla ya kuwa na wewe nilikuwa na mwanamke wa kizungu,yule bongofleva nilikuwa naye,ndo nimeanza kazi nina...
8 Reactions
71 Replies
4K Views
Kwenye 6x6 ile milio na miguno ya beats na rhythms za pumps inapendeza sana itambae kwenye flow ..ila isizidishe sana au itoke nje ya key mpiga ngoma anaweza akastuka unamuibia Akienda slow...
10 Reactions
85 Replies
22K Views
Katika safari ya maisha tumekua tukikutana na kitu kinaitwa MAPENZI,ambapo kumekua na pande 3…kupenda,kupendwa na kupendana! Ikitokea umependa utakua safe kwa 50%, ukipendwa utakua safe kwa 75%...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu Ni miaka miwili nipo nchi za watu.Mungu ni mwema karibia namaliza kilichonileta nirudi Tanzania Leo namkumbuka sana mchumba wangu na mwanangu..ni siku ambayo nimejikuta...
3 Reactions
70 Replies
7K Views
Nashindwa kuwaelewa Wasichana wa sasa kila msichana nikimuaidi kuwa ntamuoa ahamini hii inatokana na nn au wasichana wa sasa awana tena ndoto za kuolewa?????[[emoji27] [emoji27] [emoji27]...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Last week nimepata annual leave kazini. Nikamchukua wife (maana naye aliomba leave ya mwezi huu) tukaenda zetu bagamoyo kwa bro kwa mapumziko ambako ndipo wazazi wapo pia. Sasa bro ana wife...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
  • Closed
Wakubwa Heshima kwenu, poleni na harakati za kupambana na ugumu wa hali ya kimaisha. Twende kwenye Mada, Mimi ni kijana Umri wa miaka 23 (Me). Mnamo mwaka 2015 nilimaliza kidato cha sita...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna dada mzuri nilimfukuzia miaka miwili ananipiga chenga ila nilipoanza kumuonyesha atakavyo kuwa mama watoto wangu akalainika kirahisi, WHY?
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Am 28 looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious Nimeajiriwa kampuni binafsi, sina mtoto, mimi ni mkristo mlutheri kabila langu mchaga, mwanaume atakayekuja awe 33+...
11 Reactions
185 Replies
15K Views
Habari wakuu. Wapo vijana wanaobabaishwa na wanawake. Utakuta kijana anahangaika Kwenda Gym kutengeneza kifua kwaajili ya kuwaridhisha wanawake. Wengine hujipodoa na kuvaa hereni kwaajili ya...
63 Reactions
173 Replies
14K Views
Wanajamii leo nimeona tujadili hili suala ambalo watu wengi sana mitaani wamekuwa wakiamini hivyo kuwa wanawake wenye kipato kizuri ama wale walio na elimu nzuri, hasa wenye digrii ama zaidi ni...
0 Reactions
1K Replies
104K Views
Nipo huu mji mzuri wa Moro natafuta rafiki wa kike tufahamiane!! ukiwa free nicheki inbox (PM). Be happy
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Maana nipo hapa Msamvu BUS STAND MOROGORO sasa kuna vi binti vinanifuatafuata eti kisa nimevaa vizuri kama hivi; Vinaniambia eti kaka =*unahitaji huduma ya faragha!* afuu pamependeza sana...
0 Reactions
101 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…