Mwanaume aliye tayari kuanza maisha ya ndoa aje

Am 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,

mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani

if u think ukoserious just nipm.
Kila la kheri dada mungu atakusaidia utampata , me nimekosa kigezo kimoja tú hapo
 
Back
Top Bottom