Tukidanganya mtuelewe,tunadanganya tupendwe!

Tukidanganya mtuelewe,tunadanganya tupendwe!

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Mtuelewe tunapodanganya,Mi ni degree holder,nafanya kazi ofisi flani,baby nakupenda kabla ya kuwa na wewe nilikuwa na mwanamke wa kizungu,yule bongofleva nilikuwa naye,ndo nimeanza kazi nina mwezi,nakupenda tutafunga pingu ya maisha hatutaachana.


Ex wangu ana wivu tu sina uhusiano naye uwe na amani,nilikuwa naendesha tu biashara vizuri nimepata loss gafla baby nivumilie,baby harusi tutayofunga hutaamini macho yako,mtoto wetu wa kwanza tutamwita jina gani?

Tunadanganya ili mtupende msituache,tunawachombeza kwa maneno matamu mjisikie vizuri ili tufikie lengo ila in reality mambo tofauti.

Mtuvumilie tunawapenda,kudanganya ni situation tu mtukubali mtuelewe!
 
Naunga hoja hii mikono na miguu .Bila kuwadanganya hutawapata, watakuumiza na watakudharau. Tena tunatakiwa tuwadanganye kuwa "Baby nitakununulia Bombadier nyeusi"
 
Ah!! Ok! But Kwa mim n bora mtu aniambie ukwel ntampenda the way alivyo tena sana akiwa na shida akiomba kitu ntampa kwasabu naelewa hal yake yan ndo mtu unidanganye nkijua no msamaha naacha bila kutazam nyuma, ukwel unamweka mtu huru
Nikikuambia at first place utanitosa hapo hapo wakati Mi nakupenda
 
Ukianza na swaga hizo,nakubwaga on the spot..tena haichukui hata dakika nyingi. Sekunde tu
Kama unapenda makubwa ningefanyaje sweety?lol, your avatar makes me horny
 
Naunga hoja hii mikono na miguu .Bila kuwadanganya hutawapata, watakuumiza na watakudharau. Tena tunatakiwa tuwadanganye kuwa "Baby nitakununulia Bombadier nyeusi"
Pamoja kaka ,tuendeleze libeneke
 
Watakuja kusema kuwa wanapenda ukweli ilhali mioyo yao ina amini tofauti. Kama vile wasivyojielewa nini wanataka maishani ndivyo ilivyo kwa hili suala pia
 
Back
Top Bottom