Hellow nipo Morogoro Any single lady nicheki ...

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
2,475
3,108
Nipo huu mji mzuri wa Moro natafuta rafiki wa kike tufahamiane!! ukiwa free nicheki inbox (PM). Be happy
 
tumia hela kama wataka wa chapchap
Hapana Mkuu!! huwa sina tabia hiyo ya kuchukua wa kujiuza ningekua nataka hao ningewatafuta kwenye mitandao kama badoo etc au kwenda kwenye sehemu zao za kujiuza!! nataka descent lady kwa ajili ya kufahamiana tu
 
Kwani hapa umejuaje hawako badoo?
 
Wanaume eeee, hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume, pamoja na kelele zao za haki sawa bado hakuna usawa so usitegemee mwanamke ajilete PM aseme et Niko Moro hata kama anashida hiyo
 
Back
Top Bottom