Wanawake mnazingua sana

Sep 13, 2017
52
21
Nashindwa kuwaelewa Wasichana wa sasa kila msichana nikimuaidi kuwa ntamuoa ahamini hii inatokana na nn au wasichana wa sasa awana tena ndoto za kuolewa?????[
e70245f676f82fc268b1fadb0e2b9fed.jpg
 
Hata mim mkuu hilo limenitokea,kuna Dada nipo naye kwenye mahusiano,binafsi namkubal,akatoa wazo nimuoe nikasema poa,lakin mpaka sasa haamin,Wanawake wengi wao wanapendwa Wanaume wa kuwadanganya,ila mim kama sijawahi kumwambia Mwanamke ntamuoa ila kwa huyu nipo tayar,japo nilimuambia vitu nisivyovipenda endapo ntamuoa naye alikubal,kuna sababu ya kuchukua uamuz wa kulikubal ombi lake,kwanza umri naona unazd kusonga na maisha yenyewe ndiyo hayo hayatabirik na ni mafup,pil ni muda sasa wa kuyakabir maisha nikiwa ndan ya ndoa,tatu ndiyo Mtu pekee katika familia niliyebak sijaoa,kwa hiyo sababu ni nyingi,hivyo ni muda wa kuhitaji jiko
 
Back
Top Bottom