Natafuta mwanaume wa kuja kuwa mume wa maisha yangu

mkgb

New Member
Sep 1, 2017
1
2
Mi ni binti natafuta mwanaume atakayekuja kuwa mume na baba watoto wetu tutakaopata.
Awe mkristo mi pia ni mkristo.
Awe na urefu na fut 6.
Awe kazi ya kutunza familia.
Umri 32-38.
Asipende sifa ambazo hana aseme ukweli kwani ukweli utakuweka huru.
Awe na nguvu za kutosha mi michepuko siwezi ivyo ajue ntamtegemia sana yeye sehemu hiyo kunyimana mwiko labda kama mmoja anaumwa mengine tutaongea.
 
Njoo pm mrembo
mi ni binti natafuta mwanaume atakayekuja kuwa mume na baba watoto wetu tutakaopata
awe mkristo mi pia ni mkristo
awe na urefu na fut 6
awe kazi ya kutunza familia
umri 32-38
asipende sifa ambazo hana aseme ukwel kwani ukwel utakuweka huru
awe na nguvu za kutosha mi michepuko siwezi ivyo ajue ntamtegemia sana yeye sehemu hiyo kunyimana mwiko labda kama mmoja anaumwa
mengine tutaongea
povu ruksa unatoa ya moyon mwako mi ayaniusu
Njoo
 
Kuna mtu anatafutwa hapa .kila la kheri .

To accomplish much you must first lose everything..
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom