Ama kweli lakua haliwanywi!!

Ama kweli lakua haliwanywi!!

immasakha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
489
Reaction score
282
Mpaka mda huu mambo haya ndio ambayo yanayonikwaza sana kwako na kushindwa kukufahamu minajili yako juu ya mapenzi yetu, Ninaomba nipe maelezo ya kutosha juu ya hii hali:
Kwanini unashindwa kujali maumivu yang.
Ubishi usiokuwa na maana.
Unapenda kujihesabia haki ya kupendwa ww tu?
Kutokuwa muwazi kwngu?
Yani mpk mda huu nahisi km unaigiza kunipenda.
Mpk mda hu umeshindwa kutambua thamani yng katika maisha yako.unashindwa kuniridhisha kimapenzi.
Kuwa na amri kwng hata kwa mambo yasiyokuwa na maana au malengo katika maisha yetu.
Mpk mda huu ninaona ahadi za uongo tu
Umeshindwa kuonyesha hisia kali za mapenzi kwang.
Kutokuwa karibu yng mara ninapokuwa katika msongo wa mawazo.
Kutokuwa na muda na mm.
Umekua mbinafsi kila siku huna ht kitu ambacho umewahi kunipa kwa ajili yng ht chembe ya mchanga tu
Umeshindwa kukubali kujifunza kwa kila yanayotokea kati yetu.
Umeshindwa kutambua maana ya mapenzi na umuhimu wake kwng.

Nilichojibiwa "sawa nimekuelewa"
 
Hayo yote umejitakia mwnyewe. Tia kitumbua mchanga...kimbia kwenye chaki kama messi.
 
Hhahaahaha pole mkuu ndio ujinga wa wanawake mtu wa watu umejiandikia notes ndefuuu weee alafu unajibiwa kifupi tu
 
Huyo kakusitiri na kidogo ana heshima, kunahao wengine mashankupe wangekujibu k au p!!!
 
Hapo jikatae tu mapema hamna mapenzi hapo
 
Haha hilo jibu limenikumbusha marehemu Charlie Harper.

93f1802ec4e0172dfb84469804dce9da--funny-quotes-from-movies-famous-movie-quotes.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom