Nimeamini hakuna ubaunsa kwenye mapenzi

Nimeamini hakuna ubaunsa kwenye mapenzi

Al assad

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,404
Reaction score
1,517
Wakuu hamuwezi kuamini hata mimi mwenyewe siamini.Yaani mwanamke wangu niliyekuwa nampenda na ananipenda nashangaa leo ana-behave strange yaani hapokei cm wala kujibu sms zangu.Hata ahadi zake siku hz ni bandia duuh nimepatikana dadeki na ubishi wangu wote kwenye mapenzi nimetepeta!she real give me the hell!
 
Ukitaka kuyaweza jifanye kipofu tu..

Just dismind each and every thing let it operate by itself.
.we tengeneza maisha mapenzi yapo tu

Terms and condition zako ndizo pekee zitamrudisha kwako.
 
Aisee leo nitalala kama popo macho wazig!ila nita-recover from this agony!
 
Sillii mkuu sema imekuwa kama suprise attack hv !
 
Wakuu hamuwezi kuamini hata mimi mwenyewe siamini.Yaani mwanamke wangu niliyekuwa nampenda na ananipenda nashangaa leo ana-behave strange yaani hapokei cm wala kujibu sms zangu.Hata ahadi zake siku hz ni bandia duuh nimepatikana dadeki na ubishi wangu wote kwenye mapenzi nimetepeta!she real give me the hell!

Kuna bango moja mashabiki wa Yanga wa pale Ubungo Terminal huwa wanalo na limeandikwa hivi nalinukuu " ukiona manyoya jua ameshaliwa ". Nikupe tu pole Mkuu na nikutakie kila la kheri huku ukilitafakari kwa umakini sana hilo neno kwani huenda likakupa jibu kamili ili usiweze tena kupoteza muda wako na hiyo ' Mbunye ' unayoiwazia.
 
Hahaa siku ukizinduka utajishangaa sana kwamba ni mimi huyuhuyu ndo nilikuwa navumilia yale?
 
Wakuu hamuwezi kuamini hata mimi mwenyewe siamini.Yaani mwanamke wangu niliyekuwa nampenda na ananipenda nashangaa leo ana-behave strange yaani hapokei cm wala kujibu sms zangu.Hata ahadi zake siku hz ni bandia duuh nimepatikana dadeki na ubishi wangu wote kwenye mapenzi nimetepeta!she real give me the hell!
HAYA MATUNDU NI SHIDA KINACHIKUHANGAISHA NI YEYE KAMA BINADAMU AU MUNGO YAKE
 
Bro hayo ndo yanyotutokea cc wanaume, naomba ujikubali mwenyewe kwanza, kisha hakikisha unaji~control kwa gumu lolote linalokupata lisikuachie maumivu makali kwani mwanamke ni rafiki , ukimpoteza rafiki 1 kama sio sahihi kwako usilazimishe sana utapata wengne tena walio sahihi kabisaaa, amani ya nafc yko ni ya maana sana kuliko chochote, uhai wako ni wa muhimu sana kuliko chochote, ww ni wa thamani sana kuliko yoyote, potezea, kama ni sahihi kwako atarejea mwenyewee na kama sio sahihi kwako nafac yake itabaki wazi na hakika itazibwa na mwingne , unayopitia ndo tafsiri halisi ya maisha, usipanic bro wala usiweweseke yote yanapita ila wewe upo duniani kwa kusudi potezea ili utimize kusudi lako la ww kuwepo duniani wapo watakoibuka kuungana na ww ili utimize kusudi na ili kusudi litimie walio karibu yako wanaweza kushindwa kuendelea na safari yako ila ukisonga mbele utakutana na majemedari wazuri watakao kubali kuongozana na ww had mwisho wa safari yako
 
hebu na wewe mkaushie kama mwezi hivi uone kama hakutafuti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom