Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Desperation inasababisha msichana kujirahisisha na kufanya maamuzi ili kumpendeza fulani. Sababu unahitaji sana kuolewa hata akikuambia hamia kwake wewe unahamia maana unadhani kufanya hivyo ndio utamkamata. Kama mwanaume hajaamua kukuoa hata uhamie kwake, uzae naye, umnunulie gari yote hayo hayatabadili msimamo wake na hata akikuoa atafanya tu ili kuishi na mtoto wake lakini upendo hakuna.
Yakobo alikuwa anampenda Rachel, baba mkwe wake akampa Leah badala ya Rachel. Pamoja na yakobo kulala na Leah bado upendo wake ulibaki kwa rahel na alafanya juu chini kumpata na wala upendo haukuhamia kwa Leah sababu amelala naye.
Usijirahisishe kwa sababu unataka kuolewa, hakuna mtu anayetaka kumuoa msichana aliye rahisi rahisi. Wewe ni wa thamani, hakikisha unatafutwa kama Rachel na sio kupatikana kirahisi kama Leah.
Ubarikiwe