kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,822
Jamani wazima,
Duuh huku fb vipi, mbona hatari yaani binti ukimjaribu tu inbox huyoo amejaa hebu tupeane mbili tatu huku fb maana kule kutongoza ni kama unawinda zizini kila ukipiga risasi lazima lilete matokeo chanya.
CHAPUTA pateni likizo kidogo kupitia huduma hii cheap, murua na mubashara kabisa.
KARIBUNI TUPEANE UZOEFU