Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hello guys Hivi juzi kati nlipata binti mmoja mdogo tu ambae hakuwahi kuliwa 0713, lkn kwa jins alivonipenda alinitunuku despite all odds, like pain etc... nlipiga tigo bao la kwanza everything...
7 Reactions
238 Replies
21K Views
Amani kwenu wadau. Kutokana na maisha kuzidi kupanda kipato kuwa hafifu, wife ameamua kubuni kajimradi kake cha kutengeneza chapati ili naye kidogo ajikwamue na ugwadu wa life. Tatizo lipo hapa...
12 Reactions
100 Replies
7K Views
Habari. Kwenye maisha bwana, na hili liwe funzo kwa kweli. Katika harakati za maisha, niliendaga morogoro kusalimia, nililipofika huko nilikaa kama mwezi hivi, Nilikutana na kijana mmoja ambae...
3 Reactions
152 Replies
9K Views
Habari zenu wana JF, Naongea na wewe binti ambaye bado upo au upo kwenye mahusiano. Mabinti wengi ni vipofu mnapokuwa kwenye mahusiano na mbaya zaidi na jamii inayotuzunguka ndiyo kipofu zaidi...
37 Reactions
212 Replies
15K Views
Habari wana harakati wa JF, Huu ni mwezi wa kumi|Oktoba ya mwaka 2017, naamini bado maisha yanasonga mbele yapo sio mazuri sana lakini tushukuru Mungu kwa yote. Katika huu mwezi ni wazi kwamba...
0 Reactions
3 Replies
693 Views
wana jf hamjambo?... Napenda kuwatangazia kuwa namtafuta mchumba wa kike ambae mungu akitujalia tutafunga nae ndoa. Sifa zangu: •Rangi: Maji ya kunde •Jinsia: male • Umri ...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana Jf nawasalim wote Ninaishi na mdogo wangu Wa mwisho ambae ninamlea kwangu tangu akiwa form 4 hadi sasa amemaliza diploma Hivi karibuni aliniambia kuna mtu wake anataka kuja kujitambulisha...
8 Reactions
94 Replies
9K Views
Habari ndugu zangu. Naomba kuuliza maswali mawili 1. Je dhana ya laana ya mzazi ni halisi au ni ya kufikirika tu? Naomba ambaye amewahi kulaaniwa na mzazi wake na laana ikamfika au haikumfika...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Mwanaume kakubali kukuoa ila familia imekataa usibadilishe dini, Mwanaume akasema basi muendelee kuishi pamoja bila Harusi, unamuacha unatafuta mtu yeyote tu hata kama hana sifa ili tu uonekane...
27 Reactions
194 Replies
29K Views
Wapi ilipo furaha ya mwanamke? Je umtimizie mahitaji yake ya kifamilia na mwanaume uwe busy na shughul zako?,umwachie ATM card na uchelewe kurudi nyumban? Enyi wanawake wapi zilipofuraha zenu?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
C&P ASILIMIA kubwa ya WANAWAKE wanapenda kuwa na WANAUME wanaojiweza kiuchumi "BIG BOSS", Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia sana na kusema WANAUME wote ni WAONGO...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
yes!! nilikua na uhusiano na mwanamke mmoja ivi kwa takribani miaka 6 bila moyo wangu kufikiria kumuoa wachilia mbali kumuoa....na hadi kwao nilijulikana kama sala ya bwana. all of a sudden...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu habarini za mchana, Kuna mdada nilidate nae few months ago lakini kutokana na baadhi ya mambo kutokwenda sambamba mimi nikaomba tuachane. Sasa baada ya muda kidogo ananiambia ana ujauzito...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana JF, Naimani wote muazima kwa uweza wa mwenyezi Mungu, Jamani kama nilivoelezea hapo juu wanawake wenzangu ebu tuitambue thamani yetu sisi kama sisi jamani kiukweli tukianza katika...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Kama rafiki yako kazi yako kazi yake ni kukupeleka Bar au Club, kukuunganisha na wanaume wenye pesa, na kukusimulia umbea umbea wa mjini, ataishia kukuharibu tu na wala hautajengeka. Rafiki wa...
3 Reactions
6 Replies
881 Views
My singles, lets hear what these married folks have to say kwa kweli. Maana wengi wangetamani kuendeleza girfriend/boyfriend to wife/husband, lakini wengi mambo huenda ndivyo sivyo. Kuna watu...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Na Mgeni wa Jiji. Habari waungwana!, natumaini mu wazima buheri wa afya. Leo mgeni naomba ushauri wa dhati kwa haya ninayokwenda kuandika. Amini wazo lako ni muhimu sana kwangu ndugu yenu...
23 Reactions
79 Replies
13K Views
Habarini? Mi ni mwanajf wa kuperuzi kama guest. Lakini leo nimepatwa na nimelazimika kupata ac ili mnisaidie kwa ushauri. Ipo hivi, mimi nilikua na mpenzi ambaye huu ni mwaka wa tatu sasa. Miaka...
4 Reactions
13 Replies
891 Views
Huku wanaume majasiri tusioyumbishwa tukililia mifugo yetu ikiibiwa unakuta mwanaume boss mzima kutoka Dar analilia mwanamke. Je, wanaume wa Dar tuwahamishie Kenya ambako wanaume wanapigwa na...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF, Miaka michache iliyo pita nilikuwa nikipata mikosi yaani nakusudia binti anakupenda mwenyewe anaomba uhusiano na wewe pia akiwa na nia umuoe, wewe unajitolea mnafika hatua ya...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…