Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,063
Wakuu,
Mnawachukuliaje wasichana wenye tattoo, kuna binti napiga nae stori hapa huku natype JF, ana tattoo shingoni na kwenye mkono, ila ni mzuri kinoma, ana shades zake nini, nimetoka mihangaiko hapa niko eneo flani nakunywa juice ya komamanga, kanikata stim kweli na haya ma tattoo.
Mimi na tattoo ni paka na panya hata kugegeda perfomance inapunguaga hata aweje, hata akiwa kama Jokate au Lulu diva.