Rafiki yangu kanifarakanisha na bebi wangu anataka aniache

roselina john

JF-Expert Member
Aug 17, 2017
758
942
My baby jamani don't listen to them, nakuomba please mimi ni wako japo tumekutana hapa JF na kupanga appointment zetu, I know you get me.

Ukiniacha mimi nitaumia zaidi, kama ungelijua usimsikilize rafiki yangu wanawake tuna wivu wa kijinga mno.

Ndio nasema, baby kama ulijua utaniacha kwanini ulinitongoza kucheza na hisia zangu, is not good, umesahau mimi na tulikupokea kwetu tukaenda mpaka Kigali kwa mama yako? Leo unanikataa.

Nimembembeleza kwa lugha zote, mnisaidie tumbembeleze.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna muda huwa nafikiria naona kuna baadhi ya wasichana wanazingua......mamii huyo sio baba ako wala ndugu yako achana nae,kwani hauwezi kuishi bila yeye? Or unaogopa kuwa single?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom