GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Miaka yetu sisi mke alikuwa anaanza kufanyiwa interview toka akiwa mdogo. wazaz wanamuangalia mwenendo wake. jinsi anavyoenda kisimani kuchota maji, anavyoshirikiana na wenzie, shambani , anapofanya kazi zake nyumbani.walikuwa wanamwangalia kwa ukaribu sana na kumchunguza namna anavyoishi. ilikuwa wanaangalia kama ni mgomvi ,ana maneno maneno,mvivu,mchoyo n.k
so ikifika wakati wa kuoa wanakuita siku hiyo jioni wengine wote wanakuwa wameenda ndani mnakaa kuongea. mama anaanza kukwambia "sasa sisi tumekaa na kuona kuwa muda wako wa kuoa umekaribia, mwanetu unafaa kuwa na mwenzio. mwanze maisha maze mtuletee na sisi wajukuu kabla hatujafa. tumeangalia angalia sana hapa kijijini. mtoto wa mzee mwambulambo tunamwona ana tabia nzuri sana. ni msafi,ana adabu,mkarimu na anafanya kazi sana... tukaongea na wazazi wake wakatwambia wao hawana tatizo na ukoo wetu. na pia yule binti naye ni msomi kama wewe amemaliza kidato cha nne mwaka jana. kama upo tayari mwanetu tuanze kufanya mchakato uoe"
siku hiz mambo hayapo hivyo..ni hatari sana ndugu zangu. mnakutana tu mitaani huko,chuo,club,nyumba za ibada n.k hamfahamiani kabisa..mkidate siku mbili tatu basi unaona uoe. kuna shida kubwa sana ya wanawake wa siku hizi.ukianza kuzungumza naye anakufungia kibwebwe na kukupasha hasa.... anakupa vidonge vyako, anakuchamba ile mbaya. yaani mpaka unaishiwa maneno. na kukusonya juu. anakwambia usimtishe yeye anaweza akaishi bila wewe na kuna wanaume wengi tu wanamtaka...
kuna jamaa zangu baada ya kuoa hata urafiki ukaingia mashakani... unakuta jamaa kaona mke mswahili ile mbaya... hajui kujali rafiki za mumewe. hajui nini cha kuongea, hajui kutake care ya nyumba yake. unaona hapa shida mwishowe unakata mguu kumtembelea jamaa yako.
kuna wanawake wa mbeya, waongo,wafitini,wakuda, wadaku...yaani kila kitu yeye...na ndo unakuta ni mkeo au mke wa rafik yako. ukimwangalia mke wa rafik yako au mkeo magroup yake tu unachoka. ana group la kigodoro ana group la kusutana, ana group la habari ya mjini, ana group la lakhi si pesa, ana group la mkalia kigogo, ana group la kuuzia sura n.k
huyu unategemea atakuwa na akili nzuri kweli? sema tu we mwenyewe. mtu anakuwa kwenye group la kusaidiana namna ya kucheat waume zao, au group kujazana ujinga n.k kuna mambo ambayo unaweza waza ukagundua kizazi hiki kina shida sana zaidi ya unavyoona. wanawake wa siku hizi hata usafi wa ndani ni ngumu kwao.unaweza mwona nje huku ofisini ni msafi sana.nenda nyumban chumbani kwake utakimbia.
na sisi wanaume unapopata mke mwenye akili,busara na upendo mtunze. ukiona jamaa zako wanapenda kukutembelea na kumsalimia mkeo ujue ni sababu una mke mwema. inafikia mpaka jamaa wanakwambia usimwache mkeo, au umepata mke mwema... kwa ukarimu,adabu na kujiheshimu. mtunze mke ni pambo la nyumba. mke hapigwi, mkwe hatukanwi, mke anapaswa kuheshimiwa na kutunzwa kama mtoto mdogo.
nimeona tukumbushane tu hayo ndugu zanguni.