Wanawake wanatafuta mali au pesa kupitia mahusiano iko siku atakuua, believe me

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Ikitokea umepata msichana au mwanamke ambae unamuona ana tamaa ba pesa zako au mali zako.

Au ikitokea umepata mwanamke anaetaka kupata mali kupitia mahusiano na yeye na wewe mara utasikia nataka hichi mara nataka kile au nina shida kitu flani na ukimnyima ananuna.

Amini usiamini iko siku atakuja kukuua tuu.
 
IKITOKEA UMEPATA DEMU AU MWANAMKE AMBAE UNAMUONA ANA TAMAA BA PESA ZAKO AU MALI ZAKOO.

AU IKITOKEA UMEPATA MWANAMKE ANAETAKA KUPATA MALI KUPITIA MAHUSIANO NA YEYE NA WEWE MARA UTASIKIA NATAKA HICHI MARA NATAKA KILE AU NINA SHIDA KITU FLANI NA UKIMNYIMA ANANUNAA.

AMINI USIAMINI IKO SIKU ATAKUJA KUKUAAA TUU.

Huo ndio ukweli...
 
Hahaaa. Inategemea mkuu kwa sababu kama ni hizi tunazoziona kwenye Wallet sidhani kama huwa zinashawishi mpaka kuua mtu wakati hujui hata njia anazotumia kuipata hiyo pesa.
sio wewe emmyta anawasemea wale wengine walio kimaslahi zaidi..wewe najua haupo type ya mtoa mada
 
Back
Top Bottom