Hawa wanawake wasikie tu

Hawa wanawake wasikie tu

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,104
Reaction score
1,262
Habari ya muda huu wanajukwaa

Kuna jambo limenibakisha na mshangao kama sio kupigwa butwaa, sikuwai fikiria mambo ndivyo yanavyosonga kinamna Hii

Issue yenyewe IPO hivi mpenzi anapewa heshima ya juu kama mzazi/mlezi hata pale mawasiliano yanapofanyika uwa ya nidhamu sana kitu cha kushangaza ndugu zangu juzi nikajaribu kufatilia mawasiliano yake nikakuta convo na jamaa na wapo zaidi ya wanne ilikua hivi

Jamaa: Umeoga

Binti : Ndio my

Jamaa: Umenyoa ma..v.us

Binti : Ndio

Jamaa : Leo ntaktom..ba sana mpaka iwake moto

Binti : Njoo nimepanua

Jamaa : Leo nt..akufi..ra pia

Binti : Hakuna shida.


Kwa kweli ndugu zangu kuna watu sio busara kuwapa heshima ktk jamii waume kwa wanawake ni heri kupishana bila salamu hakuna shida,Najutia nidhamu yangu ni bora ningempa mtoto mdogo.

Kitu nilichofanya nimewaambia jamaa zangu wa karibu hapa hakuna mchumba nimechapa mwendo aisee
 
Kasema ashapanua? Mmh ndo ulikuwa unataka kuoa hapo? Dah pole ndugu..lakini hapo hao wote wanaonekana ni washe..i hata huyo mwanaume pia, umeona hapo aomba nini? Dah pole tena...so mpaka unaiona hiyo meseji alikuwa ameshaenda huko kwa huyo firari? Au alikuwa ndio anarudi?...ndugu piga moyo konde hii dunia ina mengi watu wanayofanya sirini..shukuru umefahamu mapema
 
leo nakufi..... kwani we hujawahi kumfi....tuanzie hapo kwanza
 
Umbea umekuzidi kupekuwa simu za mwenzako,
Ili uje uwe baba ni lazima kuwa na mwanamke,
Jitaidi kuwaeshimu na kuna mambo unapaswa kuyaona ya kawaida ili maisha yasonge!
 
Ulitegemea nini sasa wakati mwenzio anataka ndoa?
 
Kasema ashapanua? Mmh ndo ulikuwa unataka kuoa hapo? Dah pole ndugu..lakini hapo hao wote wanaonekana ni washe..i hata huyo mwanaume pia, umeona hapo aomba nini? Dah pole tena...so mpaka unaiona hiyo meseji alikuwa ameshaenda huko kwa huyo firari? Au alikuwa ndio anarudi?...ndugu piga moyo konde hii dunia ina mengi watu wanayofanya sirini..shukuru umefahamu mapema
Inasikitisha mke/mchumba kuulizwa kama kanyoa mavus na MTU mwinge kisha ukashuhudia!
 
Aise mapenzi ya siku hizi inabidi kuyapeleka nusu nusu tu kumeshachafuka zamani.
 
Kuzoea nini??? Maisha kusaidiana atulie tu
hajazoea kusaidiwa....atulie tuu hamu ikiisha atarudi sio mijitu mingine eti hadi bastola inashika...unaua halafu unaozea jela...kisa papuchii...
 
Back
Top Bottom