Ulishawahi kugomewa na 'dushe' wakati unataka kufanya mapenzi?

madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
2,453
2,848
Inakera na inahuzunisha sana nimejiandaa katikati ya gemu dushe limenigomea, aisee wakuu hii kitu mbaya sana mbaya zaidi shutuma zikaanza oh wewe huna mapenzi na mimi mtu chozi.

Aisee hatari jamani basi bwana niliathirika kisaikolojiaa sana kama wiki hivi najiuliza kweli nitaweza ila dushe linasimama kama kawa basi ikabidi niombe mechi nikaipiga fresh ila ukweli nilipata wakati mgumu sana badala ya mke wangu kunipa moyo ndio alinivunja kabisa.

Hebu kama ulipatwa na janga kama hili weka hapa, ilikuaje.
 
Inakera na inahuzunisha sana nimejiandaa katikat ya gem dushe limenigomea .aisee wakuu hii kitu mbaya saana mbaya zaid shutuma zikaanza oh ww huna mapenzi na mm.mtu choziii
Aisee hatar jaman basi bwanaa niliathirika Ki saikolojiaa saana kama wiki hivi najiuliza kweli ntaweza ila dushe linasimama kama kawa
Basi ikabidi niombe mechi ya kirafiki ili kujaribu nikaipiga saaaf.ah sasa tatizo nini.
Nikawa najiuliza ntaweza basi bwana nikaomba meach nikaipiga fresh.ila ukweli nilipata wakat mgum sana badala ya wife kunipa moyo ndio alinivunjaa kabisaa.hebu kama ulipatwa na janga kama hili tupiaaa.ilikuajee
me kuna mkaka nlimlia hela zake sana kwa miaka kama 5 hivi,siku ya kuingia kumi na nane zake kitu hakisimami af ni kibamia...nilifurahi asee...ikawa ndo excuse hadi leo...
 
Stres mkuu huwa inatokea sana .au mm huwa akinikera haisimami kabisa hata aifanyaje .
 
Mwaka 2001 nilikuwa na kademu kangu aisee nilizoea kukagegeda kila mwisho wa wiki. Sasa siku hiyo kuna kosa nililifanya home halafu mama aliniambia atasema kwa baba atakaporudi.

Basi tulivyoenda kugegedana dushe likagoma kabisa kusimama kila njia aliyotumia mpaka BJ alijaribu lakini dushe iligoma kabisa
 
me kuna mkaka nlimlia hela zake sana kwa miaka kama 5 hivi,siku ya kuingia kumi na nane zake kitu hakisimami af ni kibamia...nilifurahi asee...ikawa ndo excuse hadi leo...
Mie ilishawai nitokea ila ilikua ni tego alilifanya ili nisimle lakn hakujua kama najua kutegua nkampekua kwenye nywele maana nliambiwa kuna pini zile za nywele zipo U-shaped ndo zinatumiwa nkasaka mpaka nkaipata nkaichomoa ndo mzigo ukasimama mbn aliimba Alleluyah ya wakat huo
 
Huyo jamaa alikua anajua kabisa anatatizo, huwezi kula hela zangu kwa miaka mitano bila yakukugegeda aiseeeeee...!!! Na wewe miaka yote hiyo mitano ulikua na mwanaume mwingine au hapana???
 
Mie ilishawai nitokea ila ilikua ni tego alilifanya ili nisimle lakn hakujua kama najua kutegua nkampekua kwenye nywele maana nliambiwa kuna pini zile za nywele zipo U-shaped ndo zinatumiwa nkasaka mpaka nkaipata nkaichomoa ndo mzigo ukasimama mbn aliimba Alleluyah ya wakat huo
haha ushanipa technique,ntaekea mtu hiyo tego
 
me kuna mkaka nlimlia hela zake sana kwa miaka kama 5 hivi,siku ya kuingia kumi na nane zake kitu hakisimami af ni kibamia...nilifurahi asee...ikawa ndo excuse hadi leo...
Unaonekana umekula kula hela za wakaka wengi maana mara nyingi naona unaongelea kula hela za wakaka.

Kuna hii fomula ambayo ilitengenezwa na Dr. JK kwamba akitaka kula lazima uliwe.

Kula=kuliwa. So kama umekula hela za wakaka wengi maana yake umeliwa na wakaka wengi.

Every action, there is equal and opposite reaction.

Every kula, there is kuliwa. The more you kula the more you liwa and the vice versa is true. The more you liwa the more you kula.
 
Nilikomaa na dem mmoja mkali sana, siku ananiachia gem navua chupi ikaja harufu kali balaaa, dushe ililala palepale.

Nikaona anaanza kuuliza kulikoni, na nisivyopenda dharau nikamwambia papuchi yako inanukaa ndo mana ninashindwa kukugegeda.

Huyo nikaenda kuoga na kusepaa.
Mpaka leo hatujawahi tafutana
 
Unaonekana umekula kula hela za wakaka wengi maana mara nyingi naona unaongelea kula hela za wakaka.

Kuna hii fomula ambayo ilitengenezwa na Dr. JK kwamba akitaka kula lazima uliwe.

Kula=kuliwa. So kama umekula hela za wakaka wengi maana yake umeliwa na wakaka wengi.

Every action, there is equal and opposite reaction.

Every kula, there is kuliwa. The more you kula the more you liwa.
wala hata
 
Back
Top Bottom