Ni kweli unachokisema...ila sometimes let bygones be bygonesNi muhimu sana ktk kujua mapenzi ya kweli...
Ujue wewe ni jipu tena litatumbuka muda wowote ndani ya mahusiano au baada ya mahusiano kukolea au Ndoa! Kujua historia ya mtu kabla ya kuanza mahusiano ni muhimu sana tena sana......
makaburi huwa yanaleta shida baada mahusiano kunoga.
kwa mfano umepata msichana mrembo ila siku za nyuma ailwahi kubakwa,kuachika au kutoa mimba ila akakuficha! umeshamuoa unakuja kupata hiyo story najua lazima utaumia hata km hautojali ila km angekuambia mapema inapunguza makali.Hebu dadavua thread yako mkuu!
hahahaa! Jibu rahisi bila longolongo: "Sikutaka kukuambia ili kulinda mahusiano yetu."duniani humu hakuna siri utaulizwa mbona hukuniambia before?
Vipi unavyodhani ni muhimu kufichwa? Tatizo ni pale vinapokuja kufichuka maana dunia haina siriVipo vya kuficha. Kuna mengine lazima yafichwe ili kulinda mahusiano.
Kuna mengine ukiyatoa mwanzoni, unaweza mkosa mpenzi.Ujue wewe ni jipu tena litatumbuka muda wowote ndani ya mahusiano au baada ya mahusiano kukolea au Ndoa! Kujua historia ya mtu kabla ya kuanza mahusiano ni muhimu sana tena sana......
Hili jambo mkuu humu utapingwa sana, maana mara nyingi mada au maoni yakigusia jambo hili hupingwa.Ujue wewe ni jipu tena litatumbuka muda wowote ndani ya mahusiano au baada ya mahusiano kukolea au Ndoa! Kujua historia ya mtu kabla ya kuanza mahusiano ni muhimu sana tena sana......