Wivu umeniponza

kitoromondo

Member
Mar 26, 2017
64
75
Wadau wa JF jukwaa lililosheheni wajuvi wa mambo,

Niende kwenye mada,

Nina mpenzi wangu ambae hadi leo kaniacha ni miaka miwili na miezi sita sasa, tangu tufahamiane nilimpenda Bi dada huyu kwa mapenzi ya dhati, alikua akiishi kwao lakini nikamuwezesha kupanga chumba na kumfungulia biashara iliyokuwa na mtaji wa tsh 4.5m ili aweze kuendesha maisha yake na wanae alioachwa nao, niliweza kulipia chumba kwa mwaka.

Kila kodi ilipokwisha bili ya umeme na maji nilipia, chumba cha biashara pia kila kodi ilipokwisha nilihudumia, matibabu kwa mpenzi wangu na wanawe pale walipougua niliweza, kumpa fedha kwa ajili ya fanicha za ndani kwa kadiri ya mahitaji ya msingi bila kujali nilikua radhi kumgawia yeye nusu ya kipato changu ili akidhi mahitaji yake lakini wivu wangu kwake umeniponza.

Bidada huwa anapokasirika hachagui neno la kuniambia hata ikiwa yeye ndiye mkosaji anakasirika, hii inapelekea mimi kujishusha na kumuomba yeye radhi yaishe japo kosa ni la kwake, amekua hapendi kuulizwa maswali japo huwa namuuliza kwa upole na nia ni kulipa afya penzi letu, moja ya maswali yangu asiyo yapenda huwa napenda kila Mara kujua yuko wapi na anafanya nini nikiwa na wasiwasi nikitaka kujiridhisha hapo atanijibu kama huniamini achana na mimi mi najiamini na sio malaya, ni majibu ambayo ukweli huyatoa kwa ukali.

Hali ambayo imekua ikinisikitisha, kisa sasa cha kuachwa ni kodi ya nyumba imekwisha ya huu mwaka, nami hali yangu kiuchumi sio nzuri nikamuomba anivumilie nimtafutie lakini hakunielewa amepunguza mawasiliano kama ilivyokua kawaida yetu kupigiana simu Mara nne kwa siku kwani siishi nae huwa nikitaka kwenda kwake ni hadi nimpe taarifa.

Ndugu zake asilimia kubwa wananifahamu kuwa mi ndio namlea ndugu yao lakini Jana usiku nilimpigia simu baada ya kuwa nzima kupita bila mawasiliano nikiwa kuna mtu kanitonya kuwa bidada kakaa baa na mtu anakunywa bia mi kumpigia nikamsalimia nikamuuliza yuko wapi, akanidanganya nikakwambia vuka barabara tuonane akaniambia sawa, dk chache akanipigia mbona sikuoni nikakwambia sipo pale lakini kuna mtu akaniambia umekaa na mtu baa akaniuliza ninani sikumtaja akasema nikimjua atanitambua.

Kwani kukaa na mtu wa kiume ndio nikalale nae mimi najitambua nikakwambia naomba kukutana nawe, akaniambia kwa hasira hutanikuta wala sikuhitaji huna msaada kwangu wewe ukipigiwa simu na mtu unapaniki na kunihisi kama polisi, mimi sitaki huo ujinga na kama unadhani mimi ni malaya basi kuanzia leo futa namba yangu na usinitafute tena aniache na maisha yangu.Tangu nikuombe kodi umekuana visavisa kata mawasiliano na mimi.

Wana JF mimi sikumjibu lolote zaidi ya kusema asante, bidada nampenda sana uchumi wangu umeyumba lakini kwa maneno alionitamkia nimebaki njia panda biashara yake niliompa mtaji umekata.

Naomba ushauri wenu kwani nahisi kuchanganyikiwa jinsi nilivompenda lakini wivu wangu kwake umeniponza, nifanyeje wana JF nisaidie ushauri.
 
Wadau wa jf jukwaa lililosheni wajuvi wa mambo
Niende kwenye mada Nina mpenzi wangu ambae hadi leo kaniacha ni miaka miwili na miezi sita sasa tangu tufahamiane nilimpenda Bi Dada huyu kwa mapenzi ya dhati alikua akiishi kwao lkn nikamuwezesha kupanga chumba na kumfungulia biashara ilo kuwa na mtaji wa tsh 4.5m ili aweze kuendesha maisha yake na wanae aloachwa nao niliweza kulipia chumba kwa mwaka kila kodi ilipokwisha bili ya Umeme na maji nilipia chumba cha biashara pia kila kodi ilipokwisha nilihudumia matibabu kwa mpenzi wangu na wanawe pale walipougua niliweza kumpa fedha kwa ajili ya fanicha za ndani kwa kadiri ya mahitaji ya msingi bila kujali nilikua radhi kumgawia yeye nusu ya kipato changu ili akidhi mahitaji yake lkn wivu wangu kwake umeniponza bidada huwa anapokasirika hachagui neno la kuniambia hata ikiwa yeye ndiye mkosaji anakasirika hii inapelekea mimi kujishusha na kumuomba yeye radhi yaishe japo kosa ni lakwake amekua hapendi kuulizwa maswali japo huwa namuuliza kwa upole na nia ni kulipa afya penzi letu moja ya maswali yangu asiyo yapenda huwa napenda kila Mara kujua yuko wapi na anafanya nini nikiwa na wasiwasi nikitaka kujiridhisha hapo atabijibu km huniamini achana na Mimi mi najiamini na sio malaya ni majibu ambayo ukweli huyatoa kwa ukali hali ambayo imekua ikinisikitisha Kisa sasa cha kuachwa ni kodi ya nyumba imekwisha ya huu mwaka nami hali yangu kiuchumi sio nzuri nikamuomba anivumilie nimtafutie lkn hakunielewa amepunguza mawasiliano km ilivokua kawaida yetu kupigiana simu Mara nne kwa siku kwani siishi nae huwa nikitaka kwenda kwake ni hadi nimpe taarifa ndugu zake asilimia kubwa wananifamu kuwa mi ndio namlea ndugu yao lkn Jana usiku nilimpigia simu baada ya kuwa nzima kupita bila mawailiano nikiwa kuna mtu kanitonya kuwa bidada kakaa baa na mtu anakunywa bia mi kumpigia nika msalimia nikamuuliza uko wapi akanidanganya nikakwambia vuka barabara tuonane akaniambia sawa dk chache akanipigia mbona sikuoni nikakwambia sipo pale lkn kuna mtu akaniambia umekaa na mtu baa akaniuliza ninani sikumtaja akasema nikimjua atanitambua kwani kukaa na mtu wa kiume ndio nikalale nae minajitambua nikakwambia nakupa kukutana nawe akaniambia kwa hasira hutanikuta wala sikuhitaji huna msaada kwangu we ukipigiwa sim namtu unapaniki na kunihiji km polisi misitaki huo ujinga na km una dhani mm ni Malaya basi kuanzia leo futa namba yangu na usintafute tena aniache na maisha yangu tangu nikuombe kodi umekuana visavisa kata mawasiliano na mimi wana JF mi sikumjibu lolote zaidi ya kusema asante bidada na mpenda sana uchumi wangu umeyumba lkn kwa Maneno alonitamkia nimebaki njia panda biashara yake nilompa mtaji umekata naomba ushauri wenu kwani nahisi kuchanganyikiwa jinsi nilivompenda lkn WIVU wangu kwake umeniponza nifanyeje wana JF nisaidie ushauri
Kaka pole hakika mwenye bahati habaatiki pole njoo tuliwazane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wa jf jukwaa lililosheni wajuvi wa mambo
Niende kwenye mada Nina mpenzi wangu ambae hadi leo kaniacha ni miaka miwili na miezi sita sasa tangu tufahamiane nilimpenda Bi Dada huyu kwa mapenzi ya dhati alikua akiishi kwao lkn nikamuwezesha kupanga chumba na kumfungulia biashara ilo kuwa na mtaji wa tsh 4.5m ili aweze kuendesha maisha yake na wanae aloachwa nao niliweza kulipia chumba kwa mwaka kila kodi ilipokwisha bili ya Umeme na maji nilipia chumba cha biashara pia kila kodi ilipokwisha nilihudumia matibabu kwa mpenzi wangu na wanawe pale walipougua niliweza kumpa fedha kwa ajili ya fanicha za ndani kwa kadiri ya mahitaji ya msingi bila kujali nilikua radhi kumgawia yeye nusu ya kipato changu ili akidhi mahitaji yake lkn wivu wangu kwake umeniponza bidada huwa anapokasirika hachagui neno la kuniambia hata ikiwa yeye ndiye mkosaji anakasirika hii inapelekea mimi kujishusha na kumuomba yeye radhi yaishe japo kosa ni lakwake amekua hapendi kuulizwa maswali japo huwa namuuliza kwa upole na nia ni kulipa afya penzi letu moja ya maswali yangu asiyo yapenda huwa napenda kila Mara kujua yuko wapi na anafanya nini nikiwa na wasiwasi nikitaka kujiridhisha hapo atabijibu km huniamini achana na Mimi mi najiamini na sio malaya ni majibu ambayo ukweli huyatoa kwa ukali hali ambayo imekua ikinisikitisha Kisa sasa cha kuachwa ni kodi ya nyumba imekwisha ya huu mwaka nami hali yangu kiuchumi sio nzuri nikamuomba anivumilie nimtafutie lkn hakunielewa amepunguza mawasiliano km ilivokua kawaida yetu kupigiana simu Mara nne kwa siku kwani siishi nae huwa nikitaka kwenda kwake ni hadi nimpe taarifa ndugu zake asilimia kubwa wananifamu kuwa mi ndio namlea ndugu yao lkn Jana usiku nilimpigia simu baada ya kuwa nzima kupita bila mawailiano nikiwa kuna mtu kanitonya kuwa bidada kakaa baa na mtu anakunywa bia mi kumpigia nika msalimia nikamuuliza uko wapi akanidanganya nikakwambia vuka barabara tuonane akaniambia sawa dk chache akanipigia mbona sikuoni nikakwambia sipo pale lkn kuna mtu akaniambia umekaa na mtu baa akaniuliza ninani sikumtaja akasema nikimjua atanitambua kwani kukaa na mtu wa kiume ndio nikalale nae minajitambua nikakwambia nakupa kukutana nawe akaniambia kwa hasira hutanikuta wala sikuhitaji huna msaada kwangu we ukipigiwa sim namtu unapaniki na kunihiji km polisi misitaki huo ujinga na km una dhani mm ni Malaya basi kuanzia leo futa namba yangu na usintafute tena aniache na maisha yangu tangu nikuombe kodi umekuana visavisa kata mawasiliano na mimi wana JF mi sikumjibu lolote zaidi ya kusema asante bidada na mpenda sana uchumi wangu umeyumba lkn kwa Maneno alonitamkia nimebaki njia panda biashara yake nilompa mtaji umekata naomba ushauri wenu kwani nahisi kuchanganyikiwa jinsi nilivompenda lkn WIVU wangu kwake umeniponza nifanyeje wana
Bahati yako, ningekuita MPUMBAVU au LOFA.sema hayo maneno nasikia wamesema siyo vizuri kumtamkia mwenzako.Basi niseme pole kwa kuwe kutumikia Limbwata
 
Back
Top Bottom