Ni kweli wanawake wengine hawasamehi?

Ni kweli wanawake wengine hawasamehi?

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
996
Ndugu naimani hamjambo,

Wakati nasoma chuo fulani huko kaskazini, nilikuwa na maisha yangu ya tofauti, nilipenda michezo na sanaa. Kwa kawaida huwa sikuwa napendelea kuwa na mpenzi katika mataasisi ili niwe psychologically free (nadhani naeleweka).

Nilikuwa kipa bora, mchezaji wa mpira wa wavu, mpira wa mikono na basketball. Nilikuwa na uwezo wa kuhamasisha na mbwembwe nyingi nikihakikisha ushindi na timu yangu ibuku kidedea. Sikupenda kushindwa aisee.

Mara nyingi watu walipenda kutazama maichezo kwani nilikuwa ninacheza tu na akili za opponents ili kushinda.

Katika seasons zote hizo ilifika kipindi tukawapokea first year.
Tuliendelea na maisha.

Tulipomaliza tuliwaacha na ilifika mda waka graduate pia.

Siku moja nimeshaajiriwa, katika fb nilichat na mtoto mmoja alikuwa mutual frend,

Aliitwa somebody UNIQUE.
Tuli keep on falling tukaanza mahusiano.

Ilikaa fresh, nilimpenda na mi mzuri kwakweli.

Alimifuata nilipopangwa kazi lake zone. Tulipima afya (nadhani kinajulikana kinachoendelea hapo) Tuliishi kwa kipindi kama mwezi hivi.

Ila kama unavyojua wanaume. Nilishakuwa na ka diary ka ladies before her.

Pia nilimuweka wazi kuwa nina mtoto mdogo nimezaa na mwanamke aliyekuwa nesi huko Moshi.

Na nawasiliana nae ili kujulia hali mwanangu. Hii nilimwambia toka namtongoza.

Alikuwa akiniamini sana uki refer maisha yangu ya chuoni.

Sikupenda misifa nje ya uwanja.
Sikujisikia no.

Nilikuwa mobilized sana katika michezo sanaa (sizungumzii taaluma)
Pia milikuwa napendwa na wakufunzi kwani nilikuwa idara ya matengenezo, maana ving'amuzi, antena, madishi ndo nilikuwa mtemi taasisi nzima.

#Nb: Huyu msichana chuoni sijawahi kumtia machoni.
Mara kaa mara ila sifa/wasifu wangu wote huo aliufahamu vema.

Siku moja alianza kipoteza imani kwangu. Alianza kulia sana akisisitiza ananipenda.

Kumbe mchana alikamata meseji mojq toka kwa mzazi mwenzangu na moja ya dada flani alikuwa akisoma nursing mbeya.

Nilimbbeleza.

(kama unavyojua wanaume tulivyo katika kitengo hicho)

Alisisitiza hataki tena niwasiliane na mzazi mwenzangu au nipunguze.

Mchana huo walishatukanana sana na wanawake wote wawili kutetea jimbo lake.
Mtoto huyu tulisex karibu siku zote za wiki, alifurahia na hakutamani tuachane kwakweli.
Nilijitahidi kumridhisha.
Ili na aendane na ile hali ya mjini.
Kwani alitokea Dar es Salaam sehemu zenye starehe ka Kinondoni.

Huku nikimzoesha taratibu maisha ya ugali wa mchicha na maji ya visima.

Siku moja nipo kazini niliacha memory kadi kwenye sub woof, umeme ulikatika.
Akachukua simu yake akaweka memory card ile.

Kama unavyoijua smart ph on ili mwaga mtama wote, picha za siri, za mzazi mwenzangu alivyokuja kunisalimia pamoja na mwanangu, (wakati nilimficha kuwa hakuwahi kuja) picha za yule kadadaa nesi) tena zikiwa katika utata.

Alilia tena, ila nilimwambia ukweli. Kwamba yote hayo yalipita.

Na moyoni mwangu najua nampenda mwanangu jambo ambalo sikuweza kukaa bila kumjulia hali.

Alinisamehe yakapita.

Siku moja ilifika ya kurudi kwao.

Alirudi, na huko akaanza kunambia anamimba (baadhi naficha)
Alinambia nianze kulea mimba ya wiki mbili.

Nilimtumia hela kidogo mana kazi yangu kipato si cha kivile na mimi sikua na kitega uchumi kinhine wakati huo.

Mda kidogo alinitumia kipimo cha mimba.

Alipokuwa akidai hela sikuwa nazo. Alianza visa eti marabmimba imetoka bafuni.

Ni mkali, mkorofi, kiburi ila mwepes kulia, sijui ni mitego ya mjini au vipi

Nikimkoromea hata nikimwita mwongo analia sana.

Bado nilimpenda.

Sikumoja alinichenjia

Alisema mimba bado anayo na hataki hata siku moja mtoto anijue.

Alifuta akaunt fb

Na tulitukanana WhatsApp
Ila bado nampenda sijui kwanini, wakati huu naishi na niliyezaa naye. Maisha yanaendelea.
Ila bado namkumbuka sana huyu dada.

Hivi ni kweli wanawake wa wakigeuka nyuma hawasamehe tena?

Thanx
 
Utoto tu unamsumbua jiandae kuwa na wake wawili, Halafu supu ya katerelo haijawahi kumuacha mtu salama be careful usitelekeze mtoto mkuu
 
nikajua upo alone kumbe upo na mzaz mwenzako ! somtymz wanawake machachari wanaume wanawapendaga sana sana yaan wenye movies kila kukicha wanapendwa saaaaaaaaana sana yaan wewe umemmis mbwembwe zake ! itakusumbua kumsahau!huyo naye anakukumbuka sema anakaza tu !

POLE
 
Utoto tu unamsumbua jiandae kuwa na wake wawili, Halafu supu ya katerelo haijawahi kumuacha mtu salama be careful usitelekeze mtoto mkuu
Mkuu ni supu gani hiyo.

Mana huyu anadai kakulia mjini.
 
Iv humu kila mtu kasoma chuo


Story zote utakutana na wakat nasoma chuo pale udom sijui mara wap pale
 
Alikuwa safi, na isitoshe kumpenda mtu siunajua unazd kufeel ileeee.... Hvyo mkuu.
Basi tyr kuna utofauti na huyo mzazi mwenzio, sema hawatulii lkn Kyuma ya kwenye tetemeko ni habari ingine, mvumilie tu ili uendelee kupiga supu safi yenye ladha, siku njema
 
nikajua upo alone kumbe upo na mzaz mwenzako ! somtymz wanawake machachari wanaume wanawapendaga sana sana yaan wenye movies kila kukicha wanapendwa saaaaaaaaana sana yaan wewe umemmis mbwembwe zake ! itakusumbua kumsahau!huyo naye anakukumbuka sema anakaza tu !

POLE
sijawahi fahamu ni kwa nini? katika mahusiano watu watata (ke n me) wanapendwa sana.

visa, vitimbi, ujeuri, maneno ya hovyo hawa watu wanapendwa sana. alafu wale walio magentro men, busara, mapenz na ukweli mwingi wanaonekana panzi tu.
 
Story ndeefu mno
wapo wasiosamehe..wanawake kwa wanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom