Usidharau kitanda

Usidharau kitanda

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Katika kitu ambacho kinatakiwa kiwe cha thamani kubwa ni kitanda, umezaliwa kitandani, unafanya mapenzi kitandani, unapata watoto kitandani, ukiumwa unakimbilia kitandani, ukichoka unakimbilia kitandani pia inawezekana ukafia kitandani, kitanda ni kitu cha kuheshimu sana!

Utalalia vipi kitanda cha laki mbili wakati unatumia smart phone ya milioni?

Utalalia vipi kitanda cha laki mbili wakati unaendesha gari la milioni 20, thamini kitanda kinakupa mambo mengi.

Katika vitu vya nyumbani vinavyotakiwa viwe vya thamani kubwa ni kitanda.

Nimepost uzi huu nikiwa kitandani.
 
Katika kitu ambacho kinatakiwa kiwe cha thamani kubwa ni kitanda,Umezaliwa kitandani,unafanya mapenzi kitandani,unapata watoto kitandani,ukiumwa unakimbilia kitandani,ukichoka unakimbilia kitandani,pia inawezekana ukafia kitandani,kitanda ni kitu cha kuheshimu sana!utalalia vp kitanda cha laki mbili wakati unatumia smart phone ya milioni?utalalia vipi kitanda cha laki mbili wakati unaendesha gari la milioni 20,thamini kitanda kinakupa mambo mengi!ktk vitu vya nyumbani vinavyotakiwa viwe vya thamani kubwa ni kitanda!nimepost uzi huu nikiwa kitandani[emoji3]
Ila hujatuambia ukiwa kwenye kitanda cha bei gani.
 
Ni kweli mdau ukizingatia muda mwingi maishani tunautumia tukiwa kitandani kuliko sehemu nyingine yoyote.
Nalala saa sita usiku naamka saa kumi alfajiri. Bado muda mwingi natumia kitandani?
 
Kitanda pia kimefanya tuishi maisha magumu.
 
Kitanda kikubwa, godoro jembambaa (ulimi)...hiyo ukilala usiku unaamka kupumzika af unalala tena
Hivi vitu vinategemeana sana kitanda tu bila godoro au hata kingine chochote laini (maana wengine hawatumii godoro), Bado huwezi kukifurahia
 
hata mie nasoma huu uzi nikiwa kitandani
ila kuna vitanda uswahilini vina kunguni jamani duuh usiombe yakukute usingizi utapaaa
 
Katika kitu ambacho kinatakiwa kiwe cha thamani kubwa ni kitanda,Umezaliwa kitandani,unafanya mapenzi kitandani,unapata watoto kitandani,ukiumwa unakimbilia kitandani,ukichoka unakimbilia kitandani,pia inawezekana ukafia kitandani,kitanda ni kitu cha kuheshimu sana!utalalia vp kitanda cha laki mbili wakati unatumia smart phone ya milioni?utalalia vipi kitanda cha laki mbili wakati unaendesha gari la milioni 20,thamini kitanda kinakupa mambo mengi!ktk vitu vya nyumbani vinavyotakiwa viwe vya thamani kubwa ni kitanda!nimepost uzi huu nikiwa kitandani[emoji3]
Hii inafaa kutungia Shairi
 
Back
Top Bottom