Mwanamke mwenye akili njema nisikie.
Mwanaume pekee aliyekuja duniani amekamilika na ameshakua mkubwa na kila kitu ni Adam peke yake lakini wengine wote hata Yesu walikuja duniani kama MBEGU...
Japokuwa kila mmoja anaweza akakiri ubishi, wivu wa mwendokasi na tabia zingine lukuki za wanawake wafupi lakini imekuwa ni ngumu kuwaepuka sababu ni almost asilimia 80 ya wanawake wote, kwa...
Wakuu,leo tarehe 13/10/2017 saa 3:17 usiku kwa saa za afrika mashariki,nikiwa na akili timamu pasipokushawishiwa na mtu yeyote nimempiga marufuku mpenzi wangu kuvaa vipedo au nguo yeyote yenye...
Wanajamvi salamu,
Miaka 20 kurudi nyuma malalamiko mara ya upungufu wa nguvu za kiume, kutorizishana kimapenzi na nyingine ambazo kwa pamoja nitaziita 'kero za mapenzi' hazikuwa zikisikika...
Hata ukimzalisha watoto nane, siku akiamua kukuacha atakuacha na kwenda kujioza hata kwa Serengeti Boy
Ana njia zaidi ya million sita za kukupumzisha mahali pema bila kujulikana na yeyote
Ndio...
Nilimtongoza kiutani uyu dada, mara ya kwanza alikuwa mgumu mgumu mara akatiki, mchizi nikatembea nae sasa tatizo mtoto wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mume wake eti na huku mi nilimtamani...
Jana bhana nimekaa na jamaa alikuwa na manzi mkaree! Ila yule manzi akawa anabugia Savanna mwanzo mwisho (speed yake ya kubugia ni zaidi ya V8 inavyobugia wese) pamoja na kudance, basi mi nikawa...
Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo wake.
Form four...
Alikuwa akilia kwa sauti nzur na ya mahaba mazito...alinishika kwa nguvu zake zote na hakutaka nitoke....hata alipo maliza haja zake kwa Mara ya kwanza nilimsikia akisema BABY ASANTE"thank you and...
Habari zenu wakuu,
Rafiki yangu (tumpe jina janet),
Ananisimulia maswahibu yaliyomkuta mwezi mmoja na nusu uliopita...
Janet: Maserati mwenzio Hapa nimerudi Jana toka Tanga. Tena for emergence...
Habari zenu wana JF,
Natumai wote ni wazima na poleni katika kuzisoma namba,
Niende direct ili nisiwachose sana ni hivi miaka miwili nyuma nimetokea kukutana na binti ambaye kutokana na uzuri...
Moja huu mtandao una mambo sana hasa upande wa kina dada kwanza.
1. Kuna akina dada wako online muda wote kutongoza wanawaume kisha baada ya muda wanaomba pesa ukisema huna basi ujue utaambulia...
wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!
Wanajukwaa niende moja kwa moja kwenye madau umekuwa kwenye mahusiano pasua kichwa kwa muda mrefu. Mtu hakuelewi, haipiti wiki ugomvi unajishusha mnapatana lakini baada ya muda anarudia yale yale...
Humuamini mwenza wako(hasa mwanamke) na unahisi kuna jitu linajipakulia
Katika dunia ya sasa utagundua kiivi
i. Mchunguze mwenza wako kama anapenda sana kuchattchatt maana katika dunia ya sasa...
Hivi kuna risk gani mtakayopata mukitoa bure mlichopewa bure?, hiyo moja, mbili kama mnazani ni sahihi kuwatoza wanaume wanapoitaji Mbunye njooni hapa na majibu yaliyoshiba vinginevyo itakuwa...