Ole wenu mnaowachukulia poa wanawake

Ole wenu mnaowachukulia poa wanawake

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,785
Reaction score
167,909
  • Hata ukimzalisha watoto nane, siku akiamua kukuacha atakuacha na kwenda kujioza hata kwa Serengeti Boy
  • Ana njia zaidi ya million sita za kukupumzisha mahali pema bila kujulikana na yeyote
  • Ndio Mama zetu, usimdharau mwanamke yeyote, ni mama wa mwenzako kama alivyo mama yako
  • Wana akili kuliko wanaume, wanaona mbali sana
  • Usiombe akulipizie kisasi, utajuta kuzaliwa
  • Wanaume tuna MBINU, WANAWAKE WANA MITEGO
 
duu
 
Bujibuji we mchawi kuna mtu nimetoka mwambia hiyo kauli hapo mwishoni kwmb tuna mitego mikali na kupona uwe na malaika na roho mtakatifu, km ni akili Mungu alitupa nyingi mno kuzidi nyie lkn ktk hiyo akili tulopewa kuna kitu tulipunguziwa ndo maana Bado tunalilia 50 kwa 50 ilhali hata 30 hatujaifikia
 
Women are the source of evils...you toil working hard to satisfy them materially and morally but you get the opposite ...Respect them and be cautious on how to handle your wife, Mom , concubine , daughter and the like..
 
Kama Zamaradi haitoshi wamuulize Zari mana alimrestisha in peace Ivan kabisaa
 
Women have always been dangerously smart, and could hit you where and when you least expect. Ask Isaac and Esau about Rebekah, or Samson about Delilah. Can't be too smart with them.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom